Raphael gadau
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 1,006
- 306
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile ya tigo bado ipo? Ya 600 kwa GB 1?yap ipo vocha za chuo
Sina uhakika ila nadhani wameithitisha,walinitumia msg kuwa ofa hiyo haitakuwepo kuanzia Aug.Ile ya tigo bado ipo? Ya 600 kwa GB 1?
haipo tena,Ile ya tigo bado ipo? Ya 600 kwa GB 1?
Mkuu menu ya voda vifurushi maalum nisaidie tafadhalihaipo tena,
cheki voda vifurushi maalum kama una line ya voda,
*149*03#Mkuu menu ya voda vifurushi maalum nisaidie tafadhali
Asante mkuu nilifanikiwa ilikaa vizuri!kwanza hio apn sidhani kama ipo sawa, inatakiwa iwe b-internet.
kikawaida hapo unajaza tu apn na connection name kisha unasave, vyengine unaacha kama vilivyo.
Asante ndugu ilikaa sawa!Fungua uwanja wa sms andika "Configulation" then tuma kwenda 15503. Utatumia ujumbe wenye settings
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina mana huko airtel wao wana vocha na wala sio laini?yap ipo vocha za chuo
sasa hivi wana vyote mkuu, kuna situation tatu tofauti kwa airtel
kuongezea kila line ina vifurushi vyake maalum, kama una line zaidi ya moja ya voda jaribu zote ili uone ipi itakupa kifurushi kizuri.Mkuu menu ya voda vifurushi maalum nisaidie tafadhali
mkuu nina line ya airtel ya chuo. hii ofa ya usiku inapatikana vipi?sasa hivi wana vyote mkuu, kuna situation tatu tofauti kwa airtel
1. ukiwa na line ya kawaida unaweza jiunga vifurushi vya chuo kwa kutumia ofa kabambe ipo kwenye menu ya airtel money (ila cha usiku hamna)
2. ukiwa na line ya kawaida unaweza jiunga vifurushi vya chuo kupitia vocha za chuo.
3. unaweza ukawa na line za chuo ukaunga vifurushi vya chuo
kwenye menu ya chuo haipo?mkuu nina line ya airtel ya chuo. hii ofa ya usiku inapatikana vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
*149*81# si ndio menu ya chuo? ofa ya usiku hapo ni ya mb 600 kwa sh 500 sio ya gb 10.kwenye menu ya chuo haipo?
basi nunua vocha za usiku eka ndani, zina expire mwaka mzima*149*81# si ndio menu ya chuo? ofa ya usiku hapo ni ya mb 600 kwa sh 500 sio ya gb 10.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiobinawezekana sana tu ila ni sh 10 000 kama unahitaji njooUnaweza kuifanya line ya Halotel ya kawaida ikawa ya Chuo?
poa mkuubasi nunua vocha za usiku eka ndani, zina expire mwaka mzima