Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

nimejaribu kubonyeza hiyo menyu ya *149*03# mara kibao lakin vifurushi vyangu havijabadilika ila sikati tamaa nitakomaa hadi kieleweke
 
mkuu zantel sijaiona...hapo vipi haijakizi vigezo unavyo vihitaji? kimtandao...
toka wamenunuliwa na Tigo sijaona vifurushi vyao vya maana, offer zote wamezitoa, hata kwenye hii trend ya halichachi na haliishi sijawaona, kama kuna mwenye vifurushi vyao vizuri avitaje.

na sababu wanashare minara na Tigo ukitumia wowote ni sawa tu
 
TTCL nao je?
 
Uko pande zipi Mkuu?, mbona voda kwenye simu yangu H ni mizinguo mitupu?
nipo dar ukonga, yani ikisimama H+ ni hapo hapo. yani kama nadownload file la 1 gb. huezi amini natumia kama dakika45 tu. na natumia 3g network. ila uku ukiwa na tigo ndo utatamani kulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…