Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mkuu Sana mkwawa,

Asante kwa info.

Swali langu, nikiwa na kifurushi cha YouTube kwenye simu jee, naweza pakua mzigo kwa kutumia app za kudownload ?

Mfano: Natumia tigo nikachukua kifurushi cha YouTube maweza kupakua video kwenye simu yangu, Kama ndio na kwa ujazo gani?

Pili, niliwahi skia kuna namna ya kupata unlimited GB kwa kwa kulipia 12000 kwa service provider each month, hii imekaaje? Maana kuna coz nataka kupiga kwa kula YouTube tutorials.

Mawasilisha.
 
Back
Top Bottom