Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Sasa mkuu kama fiber haijapita watakufungia kutoka wapi?Hio ni kwa wale ambao Fiber haijapita.
Wanakuletea fiber, hio gharama sasa ndio unalipa wewe. Watapima mita ngapi toka Nyumba ilipo hadi fiber yao ilipoishia wanakupa bili.Sasa mkuu kama fiber haijapita watakufungia kutoka wapi?
Fiber ya TTCL ni free hakuna gharama zozotekuna mfanyakaz wao alinambia gharama atanieleza siku akija kufanya survey, ndomana nimeuliza ili nipate uhakika.
asante mkuu.Fiber ya TTCL ni free hakuna gharama zozote
Labda utoe tu kama rushwa ili kuharakisha mchakato maana tunajua jinsi wanavyo sumbua.
Awali gharama zilikuwepo Ila 2021 walikuja na policy mpya ya #faibamlangonimwako kusambaza internet kila kona ya Tanzania bureee.
TTCL wakaingia makubaliano na TANESCO ya kushea miundombinu ili kuwafikia watu wengi kupitia nguzo za TANESCO.
Ila mpaka uipate hiyo service yao kuna mambo ya kuzingatia
1. Ni eidha uwe unatoka mitaa ambayo tayari kuna coverage yao.
2. Mitaa unayotokea kuwe kuna kiongozi mkubwa maarufu au
3. Au uende ofisini kwao pengine sura yako ikawa inafanana na Kigogo yeyote mkubwa na wewe ukanufaika kwa hilo.
Wamepanda dau?
🤣🤣🤣🤣🤣Hao kaka wasumbufu sanaHawa TTCL hawako serious, WiFi zao zote hazi connect hapa uwanjani
View attachment 2787220View attachment 2787221View attachment 2787222
Agiza kikuu 9K tuu😃Mi mpaka saizi sijui chakufanya
Kuna muda nabaki ku stream miziki online ambayo tayari ipo kwenye device yangu.
Labda changamoto nayoiona hapa ni upungufu wa storage ya kutosha.
Device zangu zote zimejaa, nipo kwenye process ya kutafuta 2TB flash
Kaka zile ni fekiAgiza kikuu 9K tuu😃
Ikikubali ituambie kasi yake ikoje kakaHawa TTCL hawako serious, WiFi zao zote hazi connect hapa uwanjani
View attachment 2787220View attachment 2787221View attachment 2787222
Fake hizo moja niko nayo hapaAgiza kikuu 9K tuu😃
Kabisa MkuuKaka zile ni feki
Ngoja tuone labda wametegesha muda wao wa kuiachia activeIkikubali ituambie kasi yake ikoje kaka
Jau zileKabisa Mkuu
Kuna jamaa Yangu anayo inapiga kazi mwaka unaisha sasaKaka zile ni feki
Kabisa labda paka mpira uanze ndo itakubaliNgoja tuone labda wametegesha muda wao wa kuiachia active
🤣Kuna jamaa Yangu anayo inapiga kazi mwaka unaisha sasa
Me ni mtumiaji wa externalFake hizo moja niko nayo hapa
View attachment 2787229
Hii unayoiona hapa ni 2TB
Hii kuna jamaa alinifanyia delivery nikaitest kwa kuiwekea series zenye uzito wa 57GB zika play zote
Nikamuambia nainunua ila bado naendelea kui test kwasababu njia rasmi ya kui test inachukua muda mrefu nami sitaki nikusubirishe.
Kweli baadae nikaongeza series kadhaa ilipofika tu 90GB ikagoma kuingia.
Nilipofosi zikaingia ila zikagoma ku play
Nikamcheki jamaa, jamaa akasema ananibadilishia nyingine. Ila mi sina imani tena na hizo flash nimeingia woga.
Nimeona bora anipe external hata ya 1TB
Oya depal kaenda wapi kitambo sijamuona humuM
Me ni mtumiaji wa external
Ila flash kuna jamaa yangu kaagiza ipo fresh tuu nadhani alibahatisha