Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kuna jamaa Yangu anayo inapiga kazi mwaka unaisha sasa
Hata muuzaji wa flash aliyeniuzia alisema amewauzia wateja wengi na hakuna malalamiko yeyote aliyowahi kupokea kuhusu ubovu wa flash.

Na hata nillipokuwa naitest alikuwa na confidence zote.

Lakini kuna uwezekano hao watu hawajawahi kupitiliza kile kikomo ambacho kimewekwa kwenye hiyo flash.

Mfano kabla ya mimi kununua hii flash kuna flash nilitaka kununua nayo ni 2TB.

Sasa kilichotokea ni kuwa nilipokuwa naitest, niliweka series moja yenye capacity ya 20GB nikaitest ika play yote.

Nilipotengeneza folder na kui paste tena ikaimgia ila haiku play.

So ile flash ilikuwa na limit ya 20GB. Hiyo ina maana kama wewe unaitumia kwa kuweka vitu vyenye volume ndogo visivyozidi 20GB basi hautaona tatizo kwenye hiyo flash.

Hii ya juzi yenyewe kikomo chake ilipitiliza 20GB, ilikuwa ni 90GB so inawezekana hao wateja wa huyo jamaa hawajawahi kuzidisha vitu vyenye zaidi ya 90GB.
 
Tuendelee na matumizi ya external kama ndo hivi

Me muumini wa external zaid kuliko flash
 
Fake hizo moja niko nayo hapa
View attachment 2787229

Hii unayoiona hapa ni 2TB

Hii kuna jamaa alinifanyia delivery nikaitest kwa kuiwekea series zenye uzito wa 57GB zika play zote

Nikamuambia nainunua ila bado naendelea kui test kwasababu njia rasmi ya kui test inachukua muda mrefu nami sitaki nikusubirishe.

Kweli baadae nikaongeza series kadhaa ilipofika tu 90GB ikagoma kuingia.

Nilipofosi zikaingia ila zikagoma ku play

Nikamcheki jamaa, jamaa akasema ananibadilishia nyingine. Ila mi sina imani tena na hizo flash nimeingia woga.

Nimeona bora anipe external hata ya 1TB
Nunua Hdd used kkoo kama una Laptop ama pc portable nenda nayo upime mwenyewe afya ya HDD.

Hdd used GB 500 ni kama 16,000 + case chimbo labda 7000 ama 8000 haifiki hata 25,000 unapata external nzuri.

Kama sio mtu wa kuzurura tafuta dock za Hdd unapachika tu kama mikanda ya video,
 
Sio Zote, kuna possibility kubwa hio Vip ina connect huoni ilivyofungwa
Kuna hii ya VVIP naona wamei secure kwa ajili ya watu special.

Sema tangu nipate Router saizi sina shida na internet ila internet ndio inashida na mimi.

Screenshot_20231020-142225~2.png
 
Nunua Hdd used kkoo kama una Laptop ama pc portable nenda nayo upime mwenyewe afya ya HDD.

Hdd used GB 500 ni kama 16,000 + case chimbo labda 7000 ama 8000 haifiki hata 25,000 unapata external nzuri.

Kama sio mtu wa kuzurura tafuta dock za Hdd unapachika tu kama mikanda ya video,
Nataka 2TB vipi kwa hizo za mchongo inaweza kufika around shingapi?
 
Back
Top Bottom