Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #8,161
Voda wapo reliable mkuu, TTCL fiber ipo njema, speed kila kitu kipo vizuri, ila ukipata tatizo lolote kutatua ni kazi sana.Kwanini, au hadi fiber zinatofautiana?
Pia issue nyengine ni routing, kuna mdau tulikuwa tuna discuss PM yeye anacheza Games ping kubwa ukiwa Africa kuliko nje.
Mfano angalia hizi Screenshots.
Hapa Kenya ping inasoma 321ms
Hapo local ping 4ms
Hapo New York 250ms.
So speed ya TTCL ipo vizuri kama inayoonesha 4ms ya local ping ila kuna tatizo kubwa sana la routing, Ukiwasiliana na Kenya ama nchi nyengine za Africa inachukua muda kuliko Ukiwasiliana na Marekani, na ukiangalia Mkonga wetu tunakutana na Kenya kwa Fiber kupitia Horohoro ama Mara so sehemu ambayo ilitakiwa iwe na ping chini ya 10ms inakuwa zaidi ya 300ms ina maana route imekua ndefu, pengine inapitia Usa ama Ulaya ndio inarudi kenya.