Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kwanini, au hadi fiber zinatofautiana?
Voda wapo reliable mkuu, TTCL fiber ipo njema, speed kila kitu kipo vizuri, ila ukipata tatizo lolote kutatua ni kazi sana.

Pia issue nyengine ni routing, kuna mdau tulikuwa tuna discuss PM yeye anacheza Games ping kubwa ukiwa Africa kuliko nje.

Mfano angalia hizi Screenshots.

Hapa Kenya ping inasoma 321ms


Hapo local ping 4ms

Hapo New York 250ms.

So speed ya TTCL ipo vizuri kama inayoonesha 4ms ya local ping ila kuna tatizo kubwa sana la routing, Ukiwasiliana na Kenya ama nchi nyengine za Africa inachukua muda kuliko Ukiwasiliana na Marekani, na ukiangalia Mkonga wetu tunakutana na Kenya kwa Fiber kupitia Horohoro ama Mara so sehemu ambayo ilitakiwa iwe na ping chini ya 10ms inakuwa zaidi ya 300ms ina maana route imekua ndefu, pengine inapitia Usa ama Ulaya ndio inarudi kenya.
 

Ohoooo. Sa itakuwaje maana moja ya matumizi yangu muhimu ni online gaming. [emoji15]
 
Tatizo kwenye intaneti wabovu huwa inazunguka mpaka kizunguzungu halafu fasta utasikha nngeza bando hapo ndipo pabaya.
 
Inategemea na server mkuu, mfano Fifa wanatumia server za south Africa kwa Zuku watu wanapata hadi 50ms ila TTCL 200ms+

Ila kama server ipo Ulaya pengine hutoona Utofauti.

Fanya Tafiti.

Mimi nina supakasi ikiwa vizuri na enjoy na 80-90ms.

Ila ngoja kuna mtu alisema wamefungiwa humu humu ngoja niitafute post yake nimuulize akipima kwa server za south inakuja ngapi maana mara nyingi huwa natumia hizo.
 
Nimekupata vyema sana kiongozi, na gaming ping muhimu nakumbuka enzi namzuka na PUBG mobile ping ikiwa kubwa ukimuona adui unakwepa mara ghafla unaambiwa umekufa🤣,

Sema hapa jamaa warekebishe sana maana wakishindwa na huku ndo tunawazika mazima
 
Mi sikuwahi kuangalia.

Hivi sio wewe uliwahi kusema kipo?
Sikumbuki fresh, sema kama nilisema hivo ni kwa sababu walieleza nahisi kwenye website kwamba sio kama voda kuswitch package mpaka uwastue, airtel maelezo yalikua kwamba unalipa random, sjajua kama ilikua lugha ya kutuvuta au vp.


Vp lakini kwa sasa package za juu yake unaziona?
 
Yap za juu kuanzia 150K-200K zipo
 
Yap za juu kuanzia 150K-200K zipo
Safi basi mimi naona kama hizo zipo maana yake wale jamaa walowaunga yawezekana kuna usanii wamefanya pale. Jamaa alipokea simu?
 
Sio kama nawakatisha tamaa

Ila huko kuna form zangu 4 nilizojaza kwa vipindi tofauti tofauti lakini wapi..

Hii inakuwa ya 3 kwangu mimi.
Moja nilinda posta walikuja hadi kufanya survey nikaambiwa kuna uhaba wa fiber.
Ya pili online kwenye mfumo uliopita
Ya tatu kweny mfumo huu mpya.

Hapa natafuta mtu ambae ashafungiwa nimuuliza kuhusu ping inakuaje ikiwezekana niwakae mapema.
 
Yeah hata mimi nimeshangaa kuona system imebadilika maana kipindi naomba hakukuwa na mfumo huu.
 
Mkuu mimi matumizi yangu makubwa ni kuangalia tu TV,je hii ping ya TTCL inasababisha Buffering?
 
Mkuu mimi matumizi yangu makubwa ni kuangalia tu TV,je hii ping inasababisha Buffering?
Ndio ping kwa online tv ikiwa kubwa inasababisha buffer, sema TTCL haina ping kubwa kama unavyoona local ping ni 4ms tu ni ping nzuri, issue ni route kwa Nchi za Ki Africa.

Live TV nyingi server zake hazipo Africa hivyo huwezi ona Tofauti baina Ya TTCL na Voda ama Zuku.

Ila ikitokea Server ipo South ama Kenya then utafeel hio ping.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…