Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Upo dar au wapi??Mi natafuta sehem ya hivyo angalau siku za jumamosi na jpili niwe napakua vitu vyangu nikiwa nimetulia,
Changamoto ni sehemu wanayotoa huduma hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo dar au wapi??Mi natafuta sehem ya hivyo angalau siku za jumamosi na jpili niwe napakua vitu vyangu nikiwa nimetulia,
Changamoto ni sehemu wanayotoa huduma hiyo
Unapatikana wapi?..njoo kwangu mkuu nitakupa hiyo huduma...Mi natafuta sehem ya hivyo angalau siku za jumamosi na jpili niwe napakua vitu vyangu nikiwa nimetulia,
Changamoto ni sehemu wanayotoa huduma hiyo
Mkuu karibu,Nicheki PM mkuu tufanye biashara
unapatikana wapi mkuu? na gharama ikojeUnapatikana wapi?..njoo kwangu mkuu nitakupa hiyo huduma...
vifurushi vinakuwa vya muda gani?Mkuu Pengobovu Ahsante Kwa kuniunga mkono, mwenye uhitaji wa Tigo gb 6.5 Kwa buku 9, 5.5 Kwa buku 7 na 8.5 Kwa 12 karibuni Sana
[emoji115][emoji115][emoji115]Mteja unakipia nakupata huduma hakuna kusubri
Nipo dar,kuna sehemu pale tegeta nyuki stend niliona internat cafe ,kuulizia akasema huduma ipo ila mtandao unasumbua ,sa sijajua anatumia kifaa gani,pia mazingira si rafiki sana mana ni stend pale pele.Upo dar au wapi??
Huku kigamboni zipo kibaoNipo dar,kuna sehemu pale tegeta nyuki stend niliona internat cafe ,kuulizia akasema huduma ipo ila mtandao unasumbua ,sa sijajua anatumia kifaa gani,pia mazingira si rafiki sana mana ni stend pale pele.
Anafanya 1k kwa saa na kuendelea
Mkuu kwako shemeji atatuchoka mapema,wazee wakuperuzi tukizama kwenye net tunachukua mda kidogo hivyo inaweza kupelekea tabu kwa hawa ndugu zetu [emoji3][emoji3]Unapatikana wapi?..njoo kwangu mkuu nitakupa hiyo huduma...
Hahaha chief mimi sina makazi maalum hapa nakaa mwenyewe na vijana wangu wa dukani shemeji yako tulishindwana kitambo now naishi kisela sela tu ...ndio maana nimewakaribisha magetoni hata siku moja moja ukijisikia kuja kulala njoo ulalee pia gheto la masela[emoji16][emoji188]Mkuu kwako shemeji atatuchoka mapema,wazee wakuperuzi tukizama kwenye net tunachukua mda kidogo hivyo inaweza kupelekea tabu kwa hawa ndugu zetu [emoji3][emoji3]
Vzuri sana kaka,ee bwana nitakucheki mkuu siku moja tuje tupige majungu kidogo hapo [emoji2][emoji2] huku tunapakua madude mdogo mdogo,Shukrani sana mkuuHahaha chief mimi sina makazi maalum hapa nakaa mwenyewe na vijana wangu wa dukani shemeji yako tulishindwana kitambo now naishi kisela sela tu ...ndio maana nimewakaribisha magetoni hata siku moja moja ukijisikia kuja kulala njoo ulalee pia gheto la masela[emoji16][emoji188]
Karibu mkuu kiroho safiiiVzuri sana kaka,ee bwana nitakucheki mkuu siku moja tuje tupige majungu kidogo hapo [emoji2][emoji2] huku tunapakua madude mdogo mdogo,Shukrani sana mkuu
Ogopa kulala kwa watu weweVzuri sana kaka,ee bwana nitakucheki mkuu siku moja tuje tupige majungu kidogo hapo [emoji2][emoji2] huku tunapakua madude mdogo mdogo,Shukrani sana mkuu
Wikj mbiliNi kwa mda gan hivi vifurushi boss
Unaamaanisha hizi ni monthly packages au qaurterly packages?GB 5=Tsh 9000
GB 6=Tsh 11000
GB 7=Tsh 12000
GB 9=Tsh 13000
GB15=Tsh19000
GB23=Tsh 24000
GB31=Tsh32000
GB40=Tsh37000
GB50=Tsh45000
GB66=Tsh 60000
GB80=Tsh 70000
GB110=Sh90000
[emoji115][emoji115][emoji115]Ni halotel tu zinaneda Hadi miezi mitatu interested pm please
voda kawaida tu hua inazingua hizi wiki mbili,Kwa wanaotumia Voda supakasi, hivi hupati changamoto yoyote ya internet ifikapo saa2 na dk40 usiku mpaka saa4 na dk30?
Hili tatizo kwangu sio la wiki mbili. Tangu nitumie hii supakasi miaka miwili na ikifika mida hiyo inaanza kuwa slow mpaka ifike mida ya saa5 ndo inarudi normal speedsvoda kawaida tu hua inazingua hizi wiki mbili,