Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

View attachment 2811527
217GB kwa siku 12 | Makadilio kwa siku 1, Natumia 18GB |
Mkuu kila nikijaribu ku install WhatsApp messenger inaniandikia WhatsApp can't be installed because the package is in conflict with an existing package.

Tatizo linaweza kuwa nini? Natumia Samsung galaxy A14.

Nime clear caches, data nakadhalika but problem still exists.
 
Una WhatsApp ngapi kwene simu yako? Hii hutokea endapo kama unatumia official whatsapp afu unataka kuinstall Whatsapp Plus and vice-versa.. Hiyo sababu ya kwanza yapili ni pale ambapo uli uninstall whatspp ila haikumaliza ku uninstall completely labda process ilikua interrupted (huenda simu yako ilizima ghafla wakati ikiwa ina uninstall)so kuna packages zimebaki em jaribu kusaka folder la whatsapp afu lifute afu jaribu tena ku install..
 
Karibu Changanyikeni ndugu.
Asubuhi hii ttcl nimewapita wanachimbia nguzo za fiber sio mbali sana na ninapokaa...

Sijafanikiwa kuongea nao chochote maana nilikuwa kwenye bodaboda...
View attachment 2807002

View attachment 2807003

View attachment 2807007
Asubuhi hii ttcl nimewapita wanachimbia nguzo za fiber sio mbali sana na ninapokaa...

Sijafanikiwa kuongea nao chochote maana nilikuwa kwenye bodaboda...
View attachment 2807002

View attachment 2807003

View attachment 2807007
 
Nimejaribu kutafuta kila folder lenye neno WhatsApp nimefuta ila bado shida ipo pale pale.

Hapa ninatumia WhatsApp Business ambayo ni official app na nyingine Aero WhatsApp.

Hata nikifuta hii aero WhatsApp bado itaniandikia kuna conflict of existing package.

Nilikuwa na WhatsApp plus nikadhani ndiyo inayosababisha WhatsApp messenger isi install nika uninstall lakini shida ni ile ile mkuu.
 
Wamechelewa, watu tumeshajibebea router zetu wanategemea nini?[emoji3][emoji3]

Kwa ambao tumepanga, router ni user friendly maana unaweza move nayo kwenda mahali popote hata ukihama[emoji736]
Rooter ya airtel bei gani mkuu?
 
Tafuta simu nyingine eidha ya rafiki yako kisha weka application ya xshare.

Simu ya rafiki yako iwe ina hiyo application unayotaka kuinstall halafu install xshare kwenye simu yako.

Xshare ni kama Xender ila yeyewe uki transfer app ina install automatic.

Jaribu njia hiyo kama itatatua changamoto yako.
 
Nina shida ya kustream live ibada ni mtandao gani unaweza kuwa na kasu
TTCL wana package za Streamers ambazo zina upload speed kubwa kushinda Download sema kuungiwa ndio kimbembe,

Hizi za kina Airtel na voda pia sio mbaya upload speed zake, itategemea na wewe Quality unayo target.
 
Folder utakalofuta kawaida haitasaidia.

Nenda setting kisha apps angalia kwenye list ya app hakuna WhatsApp?

Alternative ni kutumia Adb, Adb inaweza ku Un install apps ambazo njia ya kawaida huwezi, download minimal adb and fast boot kisha fuata haya maelekezo


Ukisha list app zote hakiki kama Com.whatsapp ipo kama ipo itoe,

Sema fanya backup kabla huja cheza na hizo adb, ukitoa kitu usichojua, inaweza ku corrupt simu hadi format.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…