mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
Hahaha mimi ndio nawatumia hawa jamaa wapo vzrWamechelewa, watu tumeshajibebea router zetu wanategemea nini?😀😀
Kwa ambao tumepanga, router ni user friendly maana unaweza move nayo kwenda mahali popote hata ukihama✅