Mkuu unatumia mtandao Gani?View attachment 2811527
217GB kwa siku 12 | Makadilio kwa siku 1, Natumia 18GB |
nashauri mumtafute jamaa.mimi nimeweza kuunganishwa jana.kikubwa uaminifu ni kwako.unalipa baada ya kazi.nimehakikisha hakuna utapeli wowote ule0689797061
Namba zake hizo hapo
Naomba tuwe waaminifu maana jamaa ni mwaminifu sana anaweza kukuunga kwanza kisha ndo unampoza 10k
Haitaji chochote zaidi ya namba ya simu akishakuunga unamtumia 10k
Ahsante kwa mrejesho mkuunashauri mumtafute jamaa.mimi nimeweza kuunganishwa jana.kikubwa uaminifu ni kwako.unalipa baada ya kazi.nimehakikisha hakuna utapeli wowote ule
Hata mimi nilimtumia huyo πnashauri mumtafute jamaa.mimi nimeweza kuunganishwa jana.kikubwa uaminifu ni kwako.unalipa baada ya kazi.nimehakikisha hakuna utapeli wowote ule
Sawa mkuu ebu tujiunge5nashauri mumtafute jamaa.mimi nimeweza kuunganishwa jana.kikubwa uaminifu ni kwako.unalipa baada ya kazi.nimehakikisha hakuna utapeli wowote ule
Leo imenikubalia hii ofa kwa pixel 3a XL. Mtu aruke/Skip kipengele cha agent no itakubali kama uliweka agent no ikamletea wenge...KAMA UNATUMIA AIRTEL JARIBU BAHATI YAKO, JIPATIE GB 13 ZA KUPERUZI INTERNET BURE!
Fuata Maelezo Yafuatayo:
[emoji736] Kama Simu yako Ina Laini Mbili, Toa Moja Ibaki Airtel Pekee
[emoji736] Fungua Menu ya Kupiga Simu, Piga *148*91#
[emoji736] Chagua 1 'Activate New Offer'
[emoji736] Weka Agent Number '0785559399'
[emoji736] Subiri Message ya Uthibitisho
Kama Simu yako Ina Vigezo Stahiki Utapewa Ofa yako ya GB 13 za Kuperuzi Internet.
Ikitokea Umepewa Ujumbe 'Ofa hii Haipo Kwenye Simu JANJA hii, Ofa Inapatikana Kwenye Simu Janja MPYA' Basi Sio Bahati yako Mtu wangu, Endelea Kuwa Mpole tu.
Good Day!
Baada ya hapo ndo hamna kitu tenaLeo imenikubalia hii ofa kwa pixel 3a XL. Mtu aruke/Skip kipengele cha agent no italubali kama aliweka agent no ikamletea wenge...
Kwa hiyo umepata hizo gb 13Leo imenikubalia hii ofa kwa pixel 3a XL. Mtu aruke/Skip kipengele cha agent no italubali kama aliweka agent no ikamletea wenge...
Mkuu unatumia mtandao Gani?
Aise nakosa uhondo namna hii, mwezi huu lazima nikanunue router yao=
- Matandao | Airtel
- Package | 10Mps
View attachment 2823002
Hadi Muda huu (24.11.2023) nimetumia | 412GB
Nimepata hiyo offer ya GB 13Kwa hiyo umepata hizo gb 13
Mbona mimi imekubali ila sijapataNimepata hiyo offer ya GB 13
Mimi nmepewa leo GB 1 hiyo ya kuanzia...Mbona mimi imekubali ila sijapata
Kila wiki ukiunga kifurushi cha buku wanakupa extra 1GB. Mfano mimi naunga kifurushi cha wiki 1500 unapata MB 700, plus hio 1GB huwa unapewaMbona mimi imekubali ila sijapata
Ok nimeona mwanzo sikuelewa nilijua unapewa GB 13 kwa pamojaKila wiki ukiunga kifurushi cha buku wanakupa extra 1GB. Mfano mimi naunga kifurushi cha wiki 1500 unapata MB 700, plus hio 1GB huwa unapewa
Zipo wapi? Weka vifurushi vyao tuoneTigo nao wamekuja na package za 5g unlimited ππππ
Nimeona kwenye twitterZipo wapi? Weka vifurushi vyao tuone
Piga *147*00# chagua number 8 kisha chagua 1 5g package kuna ya 70 k kuna ya laki 1 k kuna ya laki 2Zipo wapi? Weka vifurushi vyao tuone