Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mi sikushauri ununue hivyo vi submiters

Ni vya kiwaki tu kama ukijua utendaji wake wa kazi.

Ni kwamba vile vidude ili uweke umeme lazima ununue kupitia main meter ambapo ili ku transfer hizo unit kwenda kwenye hicho kidude kuna kuwa na account unapewa ambapo uta log in utahamisha hizo unit kutoka kwenye main meter kwenda kwenye hiyo sub meter.

Sasa ikitokea ile main meter umeme umeisha basi huku kwako pia umeme lazima utakata. Bila kujalisha kuwa kwenye sub meter yako kuna unit nyingi

Kwa maana hiyo ili uweze kuendelea kutumia umeme wako wa kwenye submiter ni lazima main meter iwe na unit.

Kwa hiyo kama kuna wenzako wanamatumizi makubwa ya umeme na ukafikiria kuepuka kero hiyo ni kununua hiyo submiter.

Utakuwa umetatua mzozo wa kunyooshewa kidole kuwa una matumizi makubwa na hivyo kuambiwa ulipie umeme pale utakapokuwa umeisha.

Ila kama lengo ni kuepukana na kero ya kukatika umeme kutokana na matumizi makubwa basi hapo utakuwa huja solve kitu.
 
Voda wateja wamewakimbia saivi wapo airtel kwanza wao usipolipa wanalimbikiza madeni ni kausha damu
 
Sikuwa naelewa utendaji wake wa kazi

Kama niivyo basi bado naitajika tu kwenda TANESCO
 
Ipo sokoni bei 100k (mazungumzo yapo) ni used ila still kama mpya.. kila kitu chake kipo router yenyewe, power cable pamoja na ethernet cable.

Location: Mwanza Buzuruga.

Mawasiliano 0767 744 254

 
Me nimewapitia juu ya kichwa. Nimemtumia msg CEO wao wa Tigo twitter Kama unalazimishwa uchukue router ili upate hiyo huduma. Saivi naenda kuchukua line tu, router nawaachia wenyewe
Vile vi router wauze kwa gharama nafuu kama 50k hivi, ili wapate wateja wengi.
Sasa watu wanaviuza 600k si uwaki huu
 
Vile vi router wauze kwa gharama nafuu kama 50k hivi, ili wapate wateja wengi.
Sasa watu wanaviuza 600k si uwaki huu
Router za 5G ni ghali, hizo za 4G unapata kwa 50K huko Tigo.

Hapo watoe tu huduma ya vifurushi router tutafute wenyewe, ama walete modem za 5G za bei rahisi tuchomeke kwenye router zetu, kutupangia router ya bei parefu.
 
Router za 5G ni ghali, hizo za 4G unapata kwa 50K huko Tigo.

Hapo watoe tu huduma ya vifurushi router tutafute wenyewe, ama walete modem za 5G za bei rahisi tuchomeke kwenye router zetu, kutupangia router ya bei parefu.
Balaa

TTCL wamefikia wapi, maana walitangaza fiber imefika Tanzania nzima, nipo huku Mikumi nimeenda shop yao aisee wanasema hiyo huduma haijafika kabisa mpaka nimeshangaa
 
Asante kaka mimi nina watu wangu kumi tayari so nivumilie tu hiyo ya 110000 kwa mwezi hizo 30mbps zitatufaa??
In Theory yes mkuu, sema speed ni up to, hawa guarantee kama utapata yote 30mbps. Assume eneo lako halina 5G unapata 4G, tena ya kuvizia unaweza shangaa unapata 2mbps ama 5mbps tu.

Ushauri akija huyo Bi dada kama ana router ya kutestia cheki kabisa signal kama inakamata 5G na speed ni kiasi gani. Kuna utofauti baina ya mitandao ya simu na Fiber linapokuja suala la kupata speed unayolipia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…