Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Nilizungumza na wakala wa airtel 5G akanambia kifurushi cha 70,000 ni kwa wale walionunua router kwa 200,000. Wale ambao wanapewa bure wanapata kifurushi cha 110,000.
Kwa hiyo alinambia nikitaka kifurushi cha 70,000 niende na Cash 270,000/=.
200,000 ya kifaa na 70,000 ya kifurushi cha kuanzia. Alinionesha router siyo kubwa sana ila ni nzuri.
Naunga mkono hoja yako.
 
Hiki napata nikiwa na bei gani mkuu??nataka hiki kifurushi kwa ajili ya staff,tupo kama watu 30 hv,vipi itanifaa??

Sent from my Pixel 4a using JamiiForums mobile app
 
Hiki napata nikiwa na bei gani mkuu??nataka hiki kifurushi kwa ajili ya staff,tupo kama watu 30 hv,vipi itanifaa??

Sent from my Pixel 4a using JamiiForums mobile app
Itawafaa sana sana..... Tena mkiwa 30 kama watakuwa wanachanga, kila mmoja akitoa 5000/= tu total mnapata 150k kwa mwezi ambayo mnapata speed ya 50Mbps, hiyo speed kwa watu 30 inatosha sana kwa matumizi standard..

Pia kwa sasa wamerahisisha mambo, kama huna leseni ya biashara unaweza kutumia "Kitambulisho cha Kazi" kujipatia router ya enteprise.
 
Samahanini kwa kuchelewa kuleta mrejesho kuhusu routers za bure Airtel eti kwamba unalipia kifurushi Tu. Nilipitia matatizo sikuweza kwenda ofisin Airtel juz tarehe 3 nimeenda wakasema hatukuelewana nikaona ni miyeyusho Tu. Nikawaambia nitarudi kuchukua hiyo ya 110k.
Kabla sijafanya maamuzi naomba ushauri kuhusu 5g ya Airtel na 5g ya voda nichukue ipi. Mm nipo mwanza mini lakin wote hao hawajatufikia 5g. Hatuna huduma ya 5g mwanza mzima, lakin shinyanga na musoma IPO tayari (nimeshangaa kwa kweli jiji kukosa hii huduma) lakin router zao zipi changamoto sijajua nichukue ipi isio sumbua mambo ya kupoteza signal pia nataka router yenye power bank Airtel hapa kaniwin sijajua Vodacom kama Wana router yenye powerbank.

Pia naomba msaada wa nje ya mada, katika kusoma comment nilipo ishia nimekutana na comments zinazoelezea mambo ya seeds ukiwa unapakuwa movie naomba kujua hizo seeds ndo nini? Ntatumia stremio muda kupakua season na muvie lakin sijui seeds ndo nini.

Pia naomba msaada kwa watumiaji wa stremio kupata torrent ya kudownload movie za kibongo na kiafrika kama hizi kwenye link au sehemu yeyote pakuzipata nidownload Advanced search asanteni
 
Dial *#06# and press call
If your device is eSIM-compatible, you'll be able to view your EID number
 
Mkuu seed NI watu wenye io file na wanaweza kushare nayoyote anaye litaka (download) kutokana na mfumo wa torrent kuwa ni p2p (mtu na ntu )yaani file aliwi hosted kwa server Bali ao seeders ndo wanaokuwa nahilo file(movie,tv show etc) na ppia torrent client zinakuwa zinadownload kutokana kwa multiple seeders

Kupata bongo muvi huko NI mtiti wabongo hatuna wanao fanya kurip kwenye hizo site/decoder na kuupload huko torrent ila kadri bando zinavo shuka hizi unlimited tutafika tu huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…