Samahanini kwa kuchelewa kuleta mrejesho kuhusu routers za bure Airtel eti kwamba unalipia kifurushi Tu. Nilipitia matatizo sikuweza kwenda ofisin Airtel juz tarehe 3 nimeenda wakasema hatukuelewana nikaona ni miyeyusho Tu. Nikawaambia nitarudi kuchukua hiyo ya 110k.
Kabla sijafanya maamuzi naomba ushauri kuhusu 5g ya Airtel na 5g ya voda nichukue ipi. Mm nipo mwanza mini lakin wote hao hawajatufikia 5g. Hatuna huduma ya 5g mwanza mzima, lakin shinyanga na musoma IPO tayari (nimeshangaa kwa kweli jiji kukosa hii huduma) lakin router zao zipi changamoto sijajua nichukue ipi isio sumbua mambo ya kupoteza signal pia nataka router yenye power bank Airtel hapa kaniwin sijajua Vodacom kama Wana router yenye powerbank.
Pia naomba msaada wa nje ya mada, katika kusoma comment nilipo ishia nimekutana na comments zinazoelezea mambo ya seeds ukiwa unapakuwa movie naomba kujua hizo seeds ndo nini? Ntatumia stremio muda kupakua season na muvie lakin sijui seeds ndo nini.
Pia naomba msaada kwa watumiaji wa stremio kupata torrent ya kudownload movie za kibongo na kiafrika kama hizi kwenye link au sehemu yeyote pakuzipata nidownload
Advanced search asanteni