Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #8,861
Pia speed 4G Yako ikikubali kufika 10mbps basi kwa router pia utapata.Simu nna 4G tu ambayo inajitahidi kidogo , nahofia kununa na device yao halafu iwe miyayusho
Natumiaga ile ya 30+ GB sa SME hainaga shida ila muda mwingine tu inaweza kuwa slow