Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Toka juzi usiku network inacheza sana......
Screenshot_20240119-115555.jpg

Kabisa wanazingua sana
 
Nimeongea na aloniunga, akanielekeza namna ya ku reset, nime reset ila still network haiko stable...

It seems ni tatizo la minara, siyo router. As u know mitandao yote kuna muda network huwa zinakuwa unstable..
5G, 4G, 3G ni minara tofauti, kama ni tatizo la mnara jaribu kubadili setting, eka 3G only, waweza usipate 10mbps yote ila ukapata 5-7mbps maisha yakaendelea.
 
Back
Top Bottom