Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kama ndio hivyo wala sio ishu unaipiga tu chini Router yao afu unaenda kulipia 270K unapewa Router mpya.Na hiki kifurushi cha 10Mbps kwa 70K ambacho kinapatikana kwenye Retail category hawawezi kukiondoa kirahisi rahisi kwani watu wote walioungwa walisaini mkataba na Airtel.
Kukiterminate bila mkataba mpya italeta legal implications, imagine wakikiondoa kinyemela then watu wakaenda mahakamani pesa itakayowatoka ni kiasi gani?
So kamwe hawawezi fanya huo ujinga hata kidogo..
View attachment 2853494
Home unakuwa na Router mbili ila moja haitumiki, wao watakuja tu kustuka miezi inapopita bila ile Router kulipiwa kifurushi.
Hapo ndio kama kampuni watajua namna ya kujiongeza