Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
🤣🤣 ni afadhali miundo mbinu hakuna unajipa moyo kwamba hawajakupa huduma kisa miundombinu, kichwa kiwaka pale miundombinu ipo na hakuna kitu wanafanyaNiliitaka huduma yao kwa matumizi ya nyumbani kwa sababu pia ni affordable. Lakini sijafanikiwa kuipata maana hawana hiyo miundombinu sehemu nilipo.