Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wiki ya tatu ya kutumia airtel na kifurushi cha 10mbps nimetumia gb 600
1703062981025.png
 
Airtel wamelekeza kamba mimi nimepata kitonga kwa 70000 hakuna gharama za routa. Kesho Mungu akijalia nalipia. Nitaleta mrejesho na mahalo nilipo chukukia na number za mhudumu. NB usitumie sellsman kupata huduma hii wafuate wakubwa ofisin uwalilie njaa[emoji41]
Utuletee mlejesho bila kusahau contact
 
Airtel nao miyeyusho sana na ahadi zao za kiboya

Humu si kuna mdau alisema ameomgea na customer care wakamuambia kifurushi cha 70K kitakuwa active baada ha miezi mitatu ya kulipia

Mbona sikioni??
PXL_20231221_090233742.jpg
 
Airtel wamelekeza kamba mimi nimepata kitonga kwa 70000 hakuna gharama za routa. Kesho Mungu akijalia nalipia. Nitaleta mrejesho na mahalo nilipo chukukia na number za mhudumu. NB usitumie sellsman kupata huduma hii wafuate wakubwa ofisin uwalilie njaa😎
Oya kama unaweza kuongea nao wakaniwekea kifurushi cha 70K utakuwa umetisha
 
Airtel wamelekeza kamba mimi nimepata kitonga kwa 70000 hakuna gharama za routa. Kesho Mungu akijalia nalipia. Nitaleta mrejesho na mahalo nilipo chukukia na number za mhudumu. NB usitumie sellsman kupata huduma hii wafuate wakubwa ofisin uwalilie njaa😎
Kweli au
 
Umepata file na unatumia free internet.
Unaanza mwenye 5,000 anitafute nikupe unlimited internet file ya tigo. Unasambaza kwenye facebook na mitandao ya kijamii mingine
Wenye mitandao hawatupendi na hawataki tuwe na unafuu wwte katika kutumia internet. Mimi ni mtumiaji wa internet ila kila siku gharama za internet zinabadilika kila siku na zinakuwa ghari sana tofauti na hali halisi ya maisha ya uchumi wa mtanzania. 1000 unapata 450mb, hapa ndipo nilianza kutafuta maarifa ya kupata free internet maana hela ilikuwa inatumika sana kununua bando.
Ukipata file, jitahidi ule na kipofu
Tumia Airtel sme na Airtel router
 
Back
Top Bottom