Bobbyray
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 1,382
- 1,801
Watu wajinga sana tuone Watauza nn sasa ukipata nistue mzeeUpuuzi/Ushamba/Ubwege/Ujuaji WA baadhi ya watu umesababisha jamaa wafungie host *****. Mtu hadi anatangaza anauza files dah, ngoja leo nipate new host nile zangu kimyakimya