Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Samahani wakuu hivi leo Airtel internet haiko sawa?? Au ndio visa vimeanza
Iko sawa,

Unachotakiwa kufanya ni kubadili settings,
1702369795358.png

Chagua option hiyo , utapa stable connection, Hata kama upo eneo la 4G, NSA mode inafanya kazi
 
Kuna yule jamaa wa zenji aliifata dar akaenda nayo
Yes, ninayo inapiga kazi fresh
Tumenunua na vingine viwili vya ziada,kimoja kipo hotelini Turian, kinapigika hasa kwa wateja na kingine tumeweka nyumbani Arusha wanatumia na hakuna chenye utata..

Cha arusha tulijaribu kukitumia kwenye safari ya dar mpaka arusha..na kimepiga kazi njia nzima na network ilikua shega.

Kukujibu nunua kinafanya kazi mikoa yote.
 
Back
Top Bottom