Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Yes, ninayo inapiga kazi fresh
Tumenunua na vingine viwili vya ziada,kimoja kipo hotelini Turian, kinapigika hasa kwa wateja na kingine tumeweka nyumbani Arusha wanatumia na hakuna chenye utata..

Cha arusha tulijaribu kukitumia kwenye safari ya dar mpaka arusha..na kimepiga kazi njia nzima na network ilikua shega.

Kukujibu nunua kinafanya kazi mikoa yote.
Shukrani sana Mkuu,nimekucheki inbox nilikuwa sijaiona hii feedback yako.
 
Hakuna kitu kama hicho

Nina mwanangu tulichukua pamoja siku moja. Wote tulikuwa tumetoa 110K tukiamini kuwa mwezi ujao tutaweza kulipia package ya 70K

Lakini kilipoisha tukajaribu kununua kwa bahati mbaya kwenye menu hakukuwa na kifurushi cha 70K.

Mwanangu akaona dusko kutoa 110K ikabidi asilipie. Anaenda mwezi wa pili huu hajalipia na hakuna zengwe lolote kutoka Airtel
Hapo sawa kaka basi lengo langu limetimia
 
Wakuu msaada nnje ya mada kidogo
Ivhi line za mpesa,tigopesa na nyinginezo za kipesa..zinapatikana kwa kias gani??
Kuna watu kibao wana unga mtaani ila kua makini hakikisha kazi zinafanyika kwa uaminifu kati yenu ukipata wa ana kwa ana ni njema zaidi.. kuhusu bei kila mmoja ana bei zake.
 
Nikiwa sina kazi huwa napiga story na google bard juu ya 6G technology,mambo ya 1 Tbps😎😎😎

9_20231213_195456.jpg
 
Back
Top Bottom