Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Nimejibu hapo juu mkuuNimemcheki Ambition plus apa nasuburi feedback yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejibu hapo juu mkuuNimemcheki Ambition plus apa nasuburi feedback yake
Shukrani sana Mkuu,nimekucheki inbox nilikuwa sijaiona hii feedback yako.Yes, ninayo inapiga kazi fresh
Tumenunua na vingine viwili vya ziada,kimoja kipo hotelini Turian, kinapigika hasa kwa wateja na kingine tumeweka nyumbani Arusha wanatumia na hakuna chenye utata..
Cha arusha tulijaribu kukitumia kwenye safari ya dar mpaka arusha..na kimepiga kazi njia nzima na network ilikua shega.
Kukujibu nunua kinafanya kazi mikoa yote.
SahihiNa unatumia kile kifurushi cha 10mbs mkuu?
Pamoja mkuuNimejibu hapo juu mkuu
KumbeNaona wadau Chief-Mkwawa Mwl.RCT wamesema inawezekana kabisa ishu ni kucheza na settings za network mode
Hapo sawa kaka basi lengo langu limetimiaHakuna kitu kama hicho
Nina mwanangu tulichukua pamoja siku moja. Wote tulikuwa tumetoa 110K tukiamini kuwa mwezi ujao tutaweza kulipia package ya 70K
Lakini kilipoisha tukajaribu kununua kwa bahati mbaya kwenye menu hakukuwa na kifurushi cha 70K.
Mwanangu akaona dusko kutoa 110K ikabidi asilipie. Anaenda mwezi wa pili huu hajalipia na hakuna zengwe lolote kutoka Airtel
Shukrani kakaIko sawa,
Unachotakiwa kufanya ni kubadili settings,
View attachment 2840202
Chagua option hiyo , utapa stable connection, Hata kama upo eneo la 4G, NSA mode inafanya kazi
Yes mkuuUpo Dar au??
Unlimited?Kwa matumizi ya nyumbani, router unailipia 200k kama security deposit, kisha unalipia na kifurushi unachotaka ambavyo vinaanzia 70k..
Yes mkuu, ni unlimited ile yenyewe yenyewe kabisa✅Unlimited?
Kuna watu kibao wana unga mtaani ila kua makini hakikisha kazi zinafanyika kwa uaminifu kati yenu ukipata wa ana kwa ana ni njema zaidi.. kuhusu bei kila mmoja ana bei zake.Wakuu msaada nnje ya mada kidogo
Ivhi line za mpesa,tigopesa na nyinginezo za kipesa..zinapatikana kwa kias gani??
Shukrani bossKuna watu kibao wana unga mtaani ila kua makini hakikisha kazi zinafanyika kwa uaminifu kati yenu ukipata wa ana kwa ana ni njema zaidi.. kuhusu bei kila mmoja ana bei zake.
Unazingua hivi vitu sio vya kuweka wazi kiasi hichi
Wacha nijeTatizo hutaki kushare na wapendwa mzee nawakati ni kitu cha bure[emoji3][emoji3]
Sasa mimi nasema hivi yeyote anae taka hiyo VPN na sever zake anitafute ,nampa ujanja wote tena bureee yeye na laini yake tu akasumbuke huko na browse yake HA-TUNNEL
Daaah, ni kweli kabisa. Soon kale ka IP adr3ss kakipigwa kubwa tumekwisha[emoji50][emoji100][emoji50][emoji100]Wabongo hamjui kula na vipofu na hakika haifiki xmass hii vpn itakuwa haifanyi kazi...y lakini mnashindwa kula kimya kimya yaan ume expose mpaka mtandao na vpn yakee mweeeh