Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Matajuri wengi mabinafsi ndio maana wanaendelea....angalia tu nchi zilizoendelea zipo kwenye capitalism .....hii ya umoja umoja ndio iliyotuponza akina tz
Hii nakataa kama ubinafsi ungekuwa unatupa maendeleo basi watanzania tungekuwa matajiri namba 1 duniani
Alafu jifunze kutofautisha kati ya capitalism na selfishness ni vitu viwili tofauti kabisa

Mimi nimeongelea ubinafsi na sio ubepari
 
Hii nakataa kama ubinafsi ungekuwa unatupa maendeleo basi watanzania tungekuwa matajiri namba duniani
Alafu jifunze kutofautisha kati ya capitalism na selfishness ni vitu viwili tofauti kabisa

Mimi nimeongelea ubinafsi na sio ubepari
Umepata file na unatumia free internet.
Unaanza mwenye 5,000 anitafute nikupe unlimited internet file ya tigo. Unasambaza kwenye facebook na mitandao ya kijamii mingine
Wenye mitandao hawatupendi na hawataki tuwe na unafuu wwte katika kutumia internet. Mimi ni mtumiaji wa internet ila kila siku gharama za internet zinabadilika kila siku na zinakuwa ghari sana tofauti na hali halisi ya maisha ya uchumi wa mtanzania. 1000 unapata 450mb, hapa ndipo nilianza kutafuta maarifa ya kupata free internet maana hela ilikuwa inatumika sana kununua bando.
Ukipata file, jitahidi ule na kipofu
 
Wakubwa zangu nimekuwa Mhanga wa gharama za bando ambazo ni Official kutoka Airtel
Kutokana na Uhaba wa Vifurushi kwa sasq, vifurushi vizuri vinapatikana Tigo postpaid na Airtel Sme.

Airtel SME.
View attachment 2741119

Tigo postpaid
View attachment 2741120

Namna ya kupata official hivi vifurshi, tembelea wakala wa mtandao husika wa karibu ukiwa na Tin no, leseni na kitambulisho.

Kama huna details hapo juu wapo mawakala wanaunga bila Tin no, kwenye huu uzi wapo pia, ila kuwa makini na matapeli.

Update
Kwa wanaojiweza vipo pia vifurushi vya Unlimited vya 5G kwa sasa vinapatikana Airtel na Vodacom kwa urahisi.

Vodacom
-kasi internet inaanzia 50,000 kwa mwezi, unatumia around GB 20 speed inashuka ila inabaki unlimited. Sio kifurushi kibaya kama umekosa internet nyengine.

-Supakasi hii inaanzia 115,000 ni unlimited. Sema inahitaji tin no na leseni

Airtel
Wana unlimited kama Vodacom ila hii inaanzia 70,000 kwa mwezi na instalation fee ni 200,000 malipo ya mara moja, uzuri wa hii mtu yoyote anaungwa sio lazima uwe mfanyabiashara.
Wakuu zangu nimekuwa naumia sana na Mabando ya Airtel.Pia nilishawahi tapeliwa mjini INSTA Kwakuhitaji msaada.Hivyo mwenye nia nzuri ya kuungwa Bill nafuu ya mabando Plizz anisaidie.Niko tayari kwa msaada wowote kwa kupitia PM
 
Wakubwa zangu nimekuwa Mhanga wa gharama za bando ambazo ni Official kutoka Airtel

Wakuu zangu nimekuwa naumia sana na Mabando ya Airtel.Pia nilishawahi tapeliwa mjini INSTA Kwakuhitaji msaada.Hivyo mwenye nia nzuri ya kuungwa Bill nafuu ya mabando Plizz anisaidie.Niko tayari kwa msaada wowote kwa kupitia PM
Bando Nafuu Airtel ni SME,
 
Back
Top Bottom