Heavy User
JF-Expert Member
- Feb 2, 2020
- 1,047
- 1,903
Halotel wameondoa bonus kwenye vifurushi vya intaneti kwa laini zote.Mkuu hiki kifurushi nilifanikiwa kupata laini ya community na nikaanza kujiunga na kuendelea kula maisha lakini sasa naona siku hizi wamenifutia zile mb 2521 kila nikijiunga napewa mb 985 sijui shida nini au kuna masharti nilikiuka?
Kwahiyo hata sisi wa simu wanataka tununue routerHalotel wameondoa bonus kwenye vifurushi vya intaneti kwa laini zote.
Wanafuata maagizo kutoka juu, kwa rate mpya ya 245MB kwa 500/=. Rate hii huperuzi chochote cha kueleweka.
Mwaka huu wananchi kima cha chini watachakaa. Ni mwendo wa kuminywa hadi mavi yatoke.
Kwahiyo mkuu hakuna mtandao mwingine wenye unafuu angalauHalotel wameondoa bonus kwenye vifurushi vya intaneti kwa laini zote.
Wanafuata maagizo kutoka juu, kwa rate mpya ya 245MB kwa 500/=. Rate hii huperuzi chochote cha kueleweka.
Mwaka huu wananchi kima cha chini watachakaa. Ni mwendo wa kuminywa hadi mavi yatoke.
Ndiyo maana yake.Kwahiyo hata sisi wa simu wanataka tununue router
Hakuna, mapapa wamekaa meza moja kujadili jinsi ya kutuminya wananchi.Kwahiyo mkuu hakuna mtandao mwingine wenye unafuu angalau
Hawa wanapatikana wapi mkuumambo ni fireeee bado naona internet zinazidi kushuka bei tu....mimi natumia hawa net solution fiber unlimited.....bei ilikuwa 70k 20mbps now nimetumiwa email imekuwa 20mbps 50k ....jamani endeleni kushindana izidi kushuka mpaka unlimited tununue kwa 20k,,