Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Hii unaipataje mkuu?Voda wameleta huduma ya unlimited ya pre-paid kama ilivyo kwa Airtel
Weka salio lipia upate huduma
Hii ni safi sana tena kuanzia kifurushi cha 70k kwa sisi ambao hatupo kwenye fiber
0677439148 mcheki mdauHii unaipataje mkuu?
Tatizo ni 70k up to 10mbps... Ile ilikua 60kVoda wameleta huduma ya unlimited ya pre-paid kama ilivyo kwa Airtel
Weka salio lipia upate huduma
Hii ni safi sana tena kuanzia kifurushi cha 70k kwa sisi ambao hatupo kwenye fiber
Ipo kweli hii huduma mkuu? Sio anakuunga cha 30k unapata Gb 30 ukizimaliza mwendo wa kobe unaanza.0677439148 mcheki mdau
Nimegeuza maelezo kivipi na nimetaka ufafanuzi?Mbona umeguza maelezo? Wabongo bhana
Ndo hayohayo wale mimi nitakuja kuwabatuaIpo kweli hii huduma mkuu? Sio anakuunga cha 30k unapata Gb 30 ukizimaliza mwendo wa kobe unaanza.
Ipo kweli hii huduma mkuu? Sio anakuunga cha 30k unapata Gb 30 ukizimaliza mwendo wa kobe unaanza.