Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,270
- 44,403
- Thread starter
- #11,401
Kuna waya unanunua mwenyewe toka router kuja kwenye pc unaitwa ethernet, huo ndio unakupa speed kubwa Sana. Hazina bei Mita 500 madukani kama unaweza suka mwenyewe, ama ukinunua pengine ikawa chini ya 5000 ambao ushasukwa.Waya uliofika ndani kwenye router ni kama ule wa TTCL wa zamani ADSL sijui.