iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 5,214
- 10,169
Bora hata Halotel 700gb kwa 70k kwa Airtel sijui waga 400gb au 500gb tu..Router ya Halotel wamepunguza speed kutoka 30 Mbps mpk 2.2 Mbps baada ya kufikisha gb 700 hapo nimetumia wiki mbili tu
Bora hata Halotel 700gb kwa 70k kwa Airtel sijui waga 400gb au 500gb tu..Router ya Halotel wamepunguza speed kutoka 30 Mbps mpk 2.2 Mbps baada ya kufikisha gb 700 hapo nimetumia wiki mbili tu
Nenda TikTok wauzaji kama wote...Hivi ni kweli router za Yas bei imeshuka?
Kwa mwenye namba za muuzaji naomba msaada
Yas wana data cap ya siku wao ambayo inajireset kila inapo badilika siku ambayo ni 36gb so mkitumia watu 7 mpaka 15 mnaifikia chap ila kama mpo chini ya 7 na matumizi ya kawaida tu ni bora zaidi..Mimi natumia hii huduma kwa Yas ndio naona bora kuliko zile unlimited za kaiwada maana natumia speed ile ile mpaka mwezi unaisha bila shida yoyote na mara nyingi nafanya streaming ya 4K contents.
Daah basi sijakumbwa na hii kadhia mfano naangalia mpira 4k kwa lisaa na nusu hapo si ninakuwa nishamaliza cap ila sijawahi sumbuliwa kabisa.Yas wana data capp ya siku wao ambayo inajireset kila inapo badilika siku ambayo ni 36gb so mkitumia watu 7 mpaka 15 mnaifikia chap ila kama mpo chini ya 7 na matumizi ya kawaida tu ni bora zaidi..
Anyway tufanye hivi ki theory hapa! Mkuu hata kama una stream 4k kwa 90mins zote zinaenda hadi 10GB tu zikizidi sana 15GB ila kama ni 4k ya 60fps basi napo hazizidi 20GB huku unabakiwa na kama zaidi ya 13GB kufika hiyo Daily Cap ambazo ukiingia TikTok, Instagram n.k bado unaweza usizimalize maana sidhani kwanza kama unakua busy mtandaoni kiasi hicho kila muda labda kama mpo wengi...Daah basi sijakumbwa na hii kadhia mfano naangalia mpira 4k kwa lisaa na nusu hapo si ninakuwa nishamaliza cap ila sijawahi sumbuliwa kabisa.
Unalipia sh ngapi? Line kwenye simu au router?Mimi natumia hii huduma kwa Yas ndio naona bora kuliko zile unlimited za kaiwada maana natumia speed ile ile mpaka mwezi unaisha bila shida yoyote na mara nyingi nafanya streaming ya 4K contents.
NakaziaUnalipia sh ngapi? Line kwenye simu au router?
Line inakaa kote kote ila natumia router kuna comment nimepost picha ina hiyo router, 50mbps.Unalipia sh ngapi? Line kwenye simu au router?
Setup yangu nastream kutumia Tivimate, pili nina setup za movie/tv shows kupitia kodi na nuvio huko kote mara chache naangalia 1080p ukiachalia mbali matumizi madogo madogo ya simu. Ona hii attachement hizo gb hapo ni za siku 2 tu, device ikifikisha 500gb inarefresh kuanza kuhesabu upya. Angalia chini bitrate ya ninachoangalia kwa sasa.Anyway tufanye hivi ki theory hapa! Mkuu hata kama una stream 4k kwa 90mins zote zinaenda hadi 10GB tu zikizidi sana 15GB ila kama ni 4k ya 60fps basi napo hazizidi 20GB huku unabakiwa na kama zaidi ya 13GB kufika hiyo Daily Cap ambazo ukiingia TikTok, Instagram n.k bado unaweza usizimalize maana sidhani kwanza kama unakua busy mtandaoni kiasi hicho kila muda labda kama mpo wengi...
Jaribu ku monitor matumizi yako kwa siku upate hakika hasa siku una stream ball ⚽, tumia hii app
![]()
GlassWire Data Usage Monitor - Apps on Google Play
Protection from data usage overages, bandwidth wasting apps, and more!play.google.com
Plan ni ya 70K? Ama Una plan kubwa zaidi? Unapata 50mbps kwa 70K?Setup yangu nastream kutumia Tivimate, pili nina setup za movie/tv shows kupitia kodi na nuvio huko kote mara chache naangalia 1080p ukiachalia mbali matumizi madogo madogo ya simu. Ona hii attachement hizo gb hapo ni za siku 2 tu, device ikifikisha 500gb inarefresh kuanza kuhesabu upya. Angalia chini bitrate ya ninachoangalia kwa sasa.
150kPlan ni ya 70K? Ama Una plan kubwa zaidi? Unapata 50mbps kwa 70K?
Hapo Sawa wewe limit yako haitakua around 30GB kama wengine wa 70K probably ikawa zaidi ya 50GB kwa siku na throttling ikawa sio kubwa.150k
Oooh basi itakuwa hivyo. But so far so good compared na airtel ambapo walinipitisha kwenye moto kweli. ODU 2 na smart box 1🙌Hapo Sawa wewe limit yako haitakua around 30GB kama wengine wa 70K probably ikawa zaidi ya 50GB kwa siku na throttling ikawa sio kubwa.
kodi sjui kwangu imekubwa na kitu gani mwaka wa pili mfululizo, napata stream kwa shida sana , full bufferings au kutofanya kazi kabisa, kipindi cha nyuma nilikua napepea smooth sana aiseeSetup yangu nastream kutumia Tivimate, pili nina setup za movie/tv shows kupitia kodi na nuvio huko kote mara chache naangalia 1080p ukiachalia mbali matumizi madogo madogo ya simu. Ona hii attachement hizo gb hapo ni za siku 2 tu, device ikifikisha 500gb inarefresh kuanza kuhesabu upya. Angalia chini bitrate ya ninachoangalia kwa sasa.
Kodi ni software mama, quality ya content ni add-ons zake, kama unajiweza nunua debris kama real debrid, unasahau buffering, Atleast kwa vitu ambavyo sio live kama movie na TV.kodi sjui kwangu imekubwa na kitu gani mwaka wa pili mfululizo, napata stream kwa shida sana , full bufferings au kutofanya kazi kabisa, kipindi cha nyuma nilikua napepea smooth sana aisee
I can't say more. RD inastrugle kutokana na sheria za France Torbox iko vizuri at least kwa $3.Kodi ni software mama, quality ya content ni add-ons zake, kama unajiweza nunua debris kama real debrid, unasahau buffering, Atleast kwa vitu ambavyo sio live kama movie na TV.
mi nagusia kwenye addon hizo za mpira na sports kwa ujumla, debrids nilishatumia kwenye movies kipindi fulani zile trial za alldebridKodi ni software mama, quality ya content ni add-ons zake, kama unajiweza nunua debris kama real debrid, unasahau buffering, Atleast kwa vitu ambavyo sio live kama movie na TV.
Livestream Tumia apps, siku hizi kuna apps nyingi Sana zenye uwezo wa kufetch links zenyewe,mi nagusia kwenye addon hizo za mpira na sports kwa ujumla, debrids nilishatumia kwenye movies kipindi fulani zile trial za alldebrid
ila hii miaka miwili nayosema addon zinazingua, na hata livetv links hazisomi, kabla ya hapo mambo yalikua smooth sana yakumbuka olympics 2024 ile nilicheki kwa quality nzuri sana kwa links za live tv za kuokota tu online, ila hapa karibuni hata kusema channel moja ioneshe hakuna.
au mirija imeshakua migumu?
shukrani ngoja nitafatilia mkuu.Livestream Tumia apps, siku hizi kuna apps nyingi Sana zenye uwezo wa kufetch links zenyewe,
Kuna app mpya Inaitwa Playtorrio, inakubali add-ons za Stremio, cloud stream, ina fetch links etc, platform zote kubwa ipo kama Una uelewa kidogo inakufaa.
Kama unataka ya kutafuniwa Tumia ak47sports
Una user na password za router? Nakumbuka kama router Yao ilikua advanced Sana compare na za mtaani features nyingi Hadi VPN zilikuwa built in.shukrani ngoja nitafatilia mkuu.
pia kwenye suala la kupambana na cap za isp za sasa kuna njia gani ya kumonitor gb zinazotumia moja kwa moja kutoka kwenye router, router tajwa ni ttcl , juhudi nilizofanya mpaka sasa kwa msaada wa akili mnemba aliniambia router haisupport hio feature, je kuna any workaround ?