Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wakuu website gani naweza pata IPTV player nzuri kwa window PC
Kama Una need ya Mac address basi stalker portal player ipo advanced zaidi.

Kama unataka Tu links za kawaida IPTV smarters pro ipo version ya windows

Kama Una link Tu moja unataka kutest hata VLC unaweza Tumia.
 
Hiyo stalker naona ipo vizuri tatizo huwezi weka favorite channel, kuna favorite link tu sasa kuanza kuchambua channel kwenye group la channel 1000 kwangu naona ni usumbufu
 
Ni kweli mkuu, Safaricom wameweka wazi kila package ina data limit kiasi gani..

Na bei zao ni rafiki sana, 100Mbps ni roughly 100K kwa rate ya Tanzania.
View attachment 3661684

View attachment 3661679
Hii Kenya mkuu sio TZ hizi ni prices za Fiber hiyo 👇 na bei zake... Wakati TZ internet inaonekana ni ANASA na haipaswi kupatikana kwa bei ya kila mtu amudu hata muuza kachori ila wenzetu wana enjoy...
 
Attachments

  • Screenshot_20260906-093835_TikTok Lite.png
    Screenshot_20260906-093835_TikTok Lite.png
    912.3 KB · Views: 18
  • Screenshot_20260906-094112_Google.png
    Screenshot_20260906-094112_Google.png
    155.4 KB · Views: 16
Hii Kenya mkuu sio TZ hizi ni prices za Fiber hiyo 👇 na bei zake... Wakati TZ internet inaonekana ni ANASA na haipaswi kupatikana kwa bei ya kila mtu amudu hata muuza kachori ila wenzetu wana enjoy...
Hata Tanzania mkuu ukitafuta no name fiber ambao hawana coverage kubwa unapata hizo bei ndogo, faiba fasta ambao ni 35K kwa 20MBps ambayo haitofautiani Sana na hio.

Pia fiber zinaenda na Idadi ya watumiaji, ni expensive Sana kulay fiber, ila kuongeza watumiaji ni rahisi, so Jinsi tunavyoongezeka watumiaji ndio Jinsi bei itakavyoshuka.
 
Anha kumbe tutegemee ipo siku tutanunua hata 20mbps kwa hiyo 20k/30k kwa mwezi kadri users tunavyokua wengi na competition ikiwa kubwa kwao..?! Basi ndo maana Kenya wana hizi bei maana wana fiber suppliers wengi wa hizi local na wauzaji wa capacity..
 
Hata Tanzania mkuu ukitafuta no name fiber ambao hawana coverage kubwa unapata hizo bei ndogo, faiba fasta ambao ni 35K kwa 20MBps ambayo haitofautiani Sana na hio.

Pia fiber zinaenda na Idadi ya watumiaji, ni expensive Sana kulay fiber, ila kuongeza watumiaji ni rahisi, so Jinsi tunavyoongezeka watumiaji ndio Jinsi bei itakavyoshuka.
Screenshot_20260910-075258_Chrome.png
Wana hidden costs hawa sijui zimetoka wapi... Bei zinapishana...
Screenshot_20260910-075516_Chrome.png
 
View attachment 3667309Wana hidden costs hawa sijui zimetoka wapi... Bei zinapishana...View attachment 3667311
Hao ni CTV mkuu, customer care Yao wanaijua wenyewe, wapo jmall pale, sababu unaona haieleweki hao jamaa Asili Yao ni watu wa cable, zile wanaleta waya nyumbani unaona TV, then waka improve baadae na kuleta internet. Kama kuna MTU anataka vyema aende ofisi zao ama awapigie, hio mifumo Yao ya online sidhani kama inafanya kazi.
 
Ooh!! Ndiyo maana 😄😄
 
Back
Top Bottom