Seawhale
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,895
- 2,540
Kwa kweli napenda sana modem hata isipokuwa na vya ziada. Kumbuka lengo ni kupachika line ya halotel tu.I just found this on AliExpress:
Vodafone 4G Mobile Hotspot - Model R228t router(95%new only machines not original box)
![]()
ZEARTS R228t 4G Mobile Hotspot Wireless
Smarter Shopping, Better Living! Aliexpress.coma.aliexpress.com
Hii hata ukitaka usiichoshe betri mapema ukiwa maskani unaichomeka Router yako kwenye PC au umeme na micro USB tu inawaka fresh betri unaitoa inakaa pembeni, utaiweka ukiwa unaenda misele au mishe zako, pia inatoa internet tethering kwa USB fresh inafanya kazi mi huwa naitumia hadi kwenye Mikrotik yangu inatoa internet fresh... hizi MiFi ni zaidi ya hizo dongle za 3G mkuu... Au unapenda old school fashioned design with a modern technology? 😂
Vipi, hiyo modem yangu ya airtel inaweza kutoka lock?.