Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,270
- 44,403
- Thread starter
- #11,241
Savannah ama TTCL? Hao savannah ni chap tu, labda kama kuna maeneo nje ya mji hawajafika, hata ukipata tatizo ukifungua ticket wanakuja haraka.tatizo naona wengi wanalalamika kwenye swala la kucheleweshewa kufungiwa , unakuta mtu kalipia ila anakaa mpaka mwezi hawaji kufunga