Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wakuu habari?
Hivi vifurushi vya halotel m2m mnavielewa siku hizi. Juzi tu Alhamisi saa 8 za mchana nilijiunga bando la wiki zile gb 4 katika matumizi yangu nimetumia kama zimefika ni gb 2 tu jana asubuhi eti bando limeisha na hii haikuishia hapo tu hata huko nyuma nilijiunga bando la gb 18 kama mara 3 hivi linakata kimazingaombwe na kibaya zaidi nikijaribu kuuliza salio sms haitumwi nikajua zimebaki na gb ngapi kwa bando langu?? HIVI WADAU HII IMEKAAJE NI KWANGU MIMI TU NAPITIA CHANGAMOTO HII AU NA WENZANGU MPO?
 
Nilidhani ni Mimi pekee yangu , Nilinunua Cha 5k wakanipa gb 6 hata kimekata ndani ya week nikachukua Cha 10k 13gb ndani ya 13 days zimebaki 4gb mbaya zaidi hi simu ni h+ social media kwa mbali Sana huko nyuma Hali haikuwa hivi kabisa *matumizi ni hotspot kwa pc (Ubuntu 40min/day)
 
Wale wa Airtel 5G Routers, kuna mwingine anayepitia hii speed ama ni mimi tu, download speed iko chini sana kwa masaa zaidi ya 3 sasa.
Nimepiga simu wakaniambia kifaa changu hakina tatizo lolote. Data Cap haiwezi ikawa tatizo maana nimejiunga tarehe 5 July na mpaka sasa nimetumia 200GB tu.
Screenshot_20260713_141445_Chrome.jpg
 
Wale wa Airtel 5G Routers, kuna mwingine anayepitia hii speed ama ni mimi tu, download speed iko chini sana kwa masaa zaidi ya 3 sasa.
Nimepiga simu wakaniambia kifaa changu hakina tatizo lolote. Data Cap haiwezi ikawa tatizo maana nimejiunga tarehe 5 July na mpaka sasa nimetumia 200GB tu.
View attachment 3628059
Ni mtandao tu mkuu, mimi nina siku kama 2 au 3 speed imeshuka ila good news kwangu bundle limeisha leo, within this week navuta TTCL fibre.
 
Kwangu haikuwa mtandao mkuu, ikiwa mtandao ningejua, hapo kuna mbusii ilinitupia kwenye kapu nisilohusika maana nimelipia miezi 6.
Screenshot_20260714_023332_Messages.jpg

Niliwapigia na baada ya muda speed ikarudi kawaida.
Screenshot_20260714_085403_Chrome.jpg
 
Wale wa Airtel 5G Routers, kuna mwingine anayepitia hii speed ama ni mimi tu, download speed iko chini sana kwa masaa zaidi ya 3 sasa.
Nimepiga simu wakaniambia kifaa changu hakina tatizo lolote. Data Cap haiwezi ikawa tatizo maana nimejiunga tarehe 5 July na mpaka sasa nimetumia 200GB tu.
View attachment 3628059

Jana nilibahatika kukutana na mwenye router ya Halotel 5G. Kwa nilichokiona Halotel wanakupa Download Speed ambayo haiko sawa na Upload Speed.

Upande wa Airtel, wanakupa Speed sawa sawa kwa Download na Upload.

Halotel Speed Test:👇

View attachment 3628834

Airtel Speed Test:👇

View attachment 3628835
Kuna kipindi Halotel walikua na ping ya maana, hapo sio upload speed Tu hata ping ya 60 sio nzuri kama unafanya KAZI za real time.
 
Kweli mkuu, sijui tu HALOTEL wamekumbwa na mdudu gani aisee duh maana walikua na mtandao mzuri sana miaka ya hapo nyuma.. Huu mtandao unaenda unakufa taratibu wasipo chukua hatua mapema wahusika..
 
Back
Top Bottom