Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

1. natumia mwezi wa tatu sasa sijapata changamoto japo nimei-modify ikae juu kwenye mstimu
2. kukaa na chaji ni masaa 3-6 (kutegemea na joto), kama unatumia power bank zile za airtel
3. model ni H153-381, kuna mtu youtube anazichakachua
Yako ni model gani kati ya hizo zinazo chakachurika! Na umetest kuichakachua?
 
yangu ni Brovi H153-381
sijaichakachua bado maana naona Halot*l naenda nao vizuri
Kama una time fyatua lock tu mapema... Maana wakija kujua watafix kwa OTA kama zilivyofanywa routers za Airtel, zamani hizi XLT X25 za Airtel nyingi zilikua zinatoka lock ila kuna siku walipush mandatory update ambayo ilizifanya routers zote zilizokua online muda huo kwenda version ambayo haitoki lock mpaka saiv ambazo zilikua offline ndiyo hizo zina firmware ya 4.0.1 mpaka sasa.... Hii Mobile Networks ni unreliable, HALOTEL unawaona wazuri tu sasa hivi kuna siku watakuudhi uta tamani uipasue router kama huna option 😃
 
aisee, ntafanya hivyo haraka sana kwa kweli
 
Nina takribani wiki moja sasa natumia internet ya voda bure kabisa kwa line yangu ya simu. Je, kuna aliyewahi kupata hii ofa, kama yupo, ofa hii ina ukubwa gani?, maana nasita kufungua APPs zinazokula data nikihofia ofa kunikatikia.
 
hiyo itakua system error mkuu Tumia kadri uwezavyo ikiwezekana usizime cm wala data itakata cku yyte tu ..huwa inatokea mara chache sana
 
Nina takribani wiki moja sasa natumia internet ya voda bure kabisa kwa line yangu ya simu. Je, kuna aliyewahi kupata hii ofa, kama yupo, ofa hii ina ukubwa gani?, maana nasita kufungua APPs zinazokula data nikihofia ofa kunikatikia.
Kama huungi bando kwenye hio line after some time wanakupa GB za bure, sio unlimited after some time ukitumia zinaisha.
 
Routers za Airtel hazina shida hata sema tu tatizo watu wanashindwa kuelewa vitu vidogo vya kuset ili isisumbue, yaani hawajazijulia dawa yake... Ila ukijua basi labda ubaki kuwalaumu kwenye FUP tu ila sio mtandao au speed.. wabongo wengi tumezoea mambo ya plug 🔌 & play basi kama zile modem za 3G 😄 huku kwenye 4G na 5G unahitaji ku tweak na ku adjust some settings kupata kile unachotaka..
Mkuu kuna namna ya kuangalia GB ulizotumia kwa airtel 5g router?
 
Kuna watu wamesambaza huduma huku Mwanza, nilidhani TTCL nikaomba mtu awafuatilie maana nguzo yao ipo jirani sana. Jana nimeambiwa wamekuja, lakini wanadai wao si TTCL wala Halotel, wamesema jina lao ni MWANZA SERVICES nadhani, kuna anaezifahamu huduma zao hawa wadau?
 
Nina takribani wiki moja sasa natumia internet ya voda bure kabisa kwa line yangu ya simu. Je, kuna aliyewahi kupata hii ofa, kama yupo, ofa hii ina ukubwa gani?, maana nasita kufungua APPs zinazokula data nikihofia ofa kunikatikia.
Mi pia ilinitokea bana alafu nikicheck salio hata senti wala MB hata moja sina kabisa.. ila ilifika wakati ikakata tu.. imeanza toka pale mtandao wao ulivyo shake ilikua mida ya jioni hivi mwezi uliopita, ulivyokuja kukaa sawa ukaja na ofa kama hiyo 😂
 
Kuna watu wamesambaza huduma huku Mwanza, nilidhani TTCL nikaomba mtu awafuatilie maana nguzo yao ipo jirani sana. Jana nimeambiwa wamekuja, lakini wanadai wao si TTCL wala Halotel, wamesema jina lao ni MWANZA SERVICES nadhani, kuna anaezifahamu huduma zao hawa wadau?
Mwanza maeneo gani..?! Huyo uliempa kazi ya kufatilia hakuja na details zingine zaidi ya jina tu mkuu? No ya simu au hata accounts zao Instagram, Facebook, TikTok??
 
Kama huungi bando kwenye hio line after some time wanakupa GB za bure, sio unlimited after some time ukitumia zinaisha.
Mkuu hata ukicheck salio haileti kama una kifurushi cha MB wala nini hata utumie app ya M-Pesa kuangalia infos za salio kama umelink huko unaona huna kitu ila data zinajipa tu 😂 mimi laini 2 zilikua hivyo kwa siku 3+ nateleza tu sijui ikawaje zika stop kwa siku mpishano.
 
Routers za Airtel hazina shida hata sema tu tatizo watu wanashindwa kuelewa vitu vidogo vya kuset ili isisumbue, yaani hawajazijulia dawa yake... Ila ukijua basi labda ubaki kuwalaumu kwenye FUP tu ila sio mtandao au speed.. wabongo wengi tumezoea mambo ya plug 🔌 & play basi kama zile modem za 3G 😄 huku kwenye 4G na 5G unahitaji ku tweak na ku adjust some settings kupata kile unachotaka..
Habali mkuu nisaidie namna ya kuset ndo kwanza ina mwenzi
 
Kama una time fyatua lock tu mapema... Maana wakija kujua watafix kwa OTA kama zilivyofanywa routers za Airtel, zamani hizi XLT X25 za Airtel nyingi zilikua zinatoka lock ila kuna siku walipush mandatory update ambayo ilizifanya routers zote zilizokua online muda huo kwenda version ambayo haitoki lock mpaka saiv ambazo zilikua offline ndiyo hizo zina firmware ya 4.0.1 mpaka sasa.... Hii Mobile Networks ni unreliable, HALOTEL unawaona wazuri tu sasa hivi kuna siku watakuudhi uta tamani uipasue router kama huna option 😃
Msaada namna ya kufyatua wakuu,nipo Morogoro mjini
 
Back
Top Bottom