Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

NA kweli kuna mtu nilinunua nae router ya Airtel na mpaka leo bado anaitumia yake na anasema haina shida yoyote....
Routers za Airtel hazina shida hata sema tu tatizo watu wanashindwa kuelewa vitu vidogo vya kuset ili isisumbue, yaani hawajazijulia dawa yake... Ila ukijua basi labda ubaki kuwalaumu kwenye FUP tu ila sio mtandao au speed.. wabongo wengi tumezoea mambo ya plug 🔌 & play basi kama zile modem za 3G 😄 huku kwenye 4G na 5G unahitaji ku tweak na ku adjust some settings kupata kile unachotaka..
 
Wakuu wa jukwaa ili wenye kufahamu mambo za computer naomba msaada wenu, kunauwezekano wa kutoa activation lock kwa iPad? If YES naomba muongozo nifanye vipi maana limegeuka kuwa kopo baada ya kurest bila kufuta icloud ya previous user .
 
Ios ngapi? Ios za zamani zinatoka ila mpya ni ngumu.
 
Aisee Fiber ni noma.
Unaweza jikuta week nzima inaisha upo ndani tu.

1781790471703.png
 
Back
Top Bottom