Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Wewe jamaa ni last born kwenu?Habari zenu tena wakuu.
Leo hapa home wamekuja YAS Fiber. Wamesema kuanzia tarehe 1 wanaanza huduma ya fiber rasmi. Kwa 55k unapata 20mbps. TTCL tayari wao wameshaweka nguzo, wamesema after two weeks wanaanza kutoa Internet eneo hili, wao kwa 55k wanatoa 60mbps.
Sasa Wakuu mnanishaurije hapo, niende na yupi?
iNine9 Chief-Mkwawa
Na wengine woote.
Kila siku unauliza swali hilohilo? Huna maamuzi licha ya watu kukuelekeza kila siku, ndio maana wameona wakaushe sasa.
Jitambue basi, kuwa Gentleman.