Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

YAS wamenizingua aisee. Inabidi niwasubiri TTCL tu japo wana ahadi hewa. Leo nilitaka kulipia Airtel ila nikashangaa Router inatoa moshi. Hii ni router ya pili ya ODU ya Airtel inaungua, mbaya zaidi nimeiconnect na TV guard.
Mkuu kwa kuwaponda Airtel haujambo😀

Mimi na wenzangu kama 5 hivi tunamiliki hizi router toka 2023 mwezi wa 10.

Mpaka leo hakuna aliyepata changamoto na router yake, sana sana ni adapter ndizo zinakufa na replacement yake ulienda Airtel Shops wanakupa bureee. Au unaweza kutumia yeyote, hata za ving'amuzi maana zinaingiliana.

Sasa cha kushangaza eti wewe umeshaunguliwa na router 2 mpaka sasa, tena hiyo ya leo imeungua the moment ulipotaka kulipia😄

Kaka punguza fix basii.
 
Unatumia hizi ODU? Kama sio ODU basi hizo za nyuma zilikuwa safi. Hizi ODU kuanzia mwaka jana hadi sasa yameshakuja matoleo mengi tofauti.

Scrow hii forum utamuona mdau mwingine akilalamika kuhusu hizi router zao. Nipo hili jukwaa zaidi ya miaka 10 sasa, sioni sababu ya kusema uongo humu ndani.
 
Mkuu kwa kuwaponda Airtel haujambo😀

Mimi na wenzangu kama 5 hivi tunamiliki hizi router toka 2023 mwezi wa 10.

Mpaka leo hakuna aliyepata changamoto na router yake, sana sana ni adapter ndizo zinakufa na replacement yake ulienda Airtel Shops wanakupa bureee. Au unaweza kutumia yeyote, hata za ving'amuzi maana zinaingiliana.

Sasa cha kushangaza eti wewe umeshaunguliwa na router 2 mpaka sasa, tena hiyo ya leo imeungua the moment ulipotaka kulipia😄

Kaka punguza fix basii.
Thread 'Airtel Tanzania, 5G Router zenu ni mbovu. Madukani tukileta mnasema zimeisha. Really?'
KERO - Airtel Tanzania, 5G Router zenu ni mbovu. Madukani tukileta mnasema zimeisha. Really?
 
YAS wamenizingua aisee. Inabidi niwasubiri TTCL tu japo wana ahadi hewa. Leo nilitaka kulipia Airtel ila nikashangaa Router inatoa moshi. Hii ni router ya pili ya ODU ya Airtel inaungua, mbaya zaidi nimeiconnect na TV guard.
Pole mkuu 😂 moshi tena? Skia iliyoungua sini modem tu ile SmartConnect? Kama ni hiyo sidhani kama umeme umefika kwenye router yenyewe maana ZLT X17U inawashwa na PoE (Power Over Ethernet) ule waya mweupe.. Hebu change modem weka hata Access Point Router nyingine kama unayo, hakikisha hiyo access point inatoa umeme kwa PoE na same current ni 12v kuiwasha ZLT X17U
 
Mkuu kwa kuwaponda Airtel haujambo😀

Mimi na wenzangu kama 5 hivi tunamiliki hizi router toka 2023 mwezi wa 10.

Mpaka leo hakuna aliyepata changamoto na router yake, sana sana ni adapter ndizo zinakufa na replacement yake ulienda Airtel Shops wanakupa bureee. Au unaweza kutumia yeyote, hata za ving'amuzi maana zinaingiliana.

Sasa cha kushangaza eti wewe umeshaunguliwa na router 2 mpaka sasa, tena hiyo ya leo imeungua the moment ulipotaka kulipia😄

Kaka punguza fix basii.
Hata mimi natumia ODU toka mwaka huu haijawahi zingua ki technical mbali na FUP tu na nilipo umeme unasumbua sana miezi 2 hii kukata na kurudi na sina guard nilipoiweka tofauti na vifaa vingine...
 
Pole mkuu 😂 moshi tena? Skia iliyoungua sini modem tu ile SmartConnect? Kama ni hiyo sidhani kama umeme umefika kwenye router yenyewe maana ZLT X17U inawashwa na PoE (Power Over Ethernet) ule waya mweupe.. Hebu change modem weka hata Access Point Router nyingine kama unayo, hakikisha hiyo access point inatoa umeme kwa PoE na same current ni 12v kuiwasha ZLT X17U
Nimekwazika sana, nliiweka pembeni Airtel kusubiri TTCL na YAS. TTCL wanasema ni kweli miundombinu ipo ila internet haijawashwa. YAS wao wanasema upande mimi nipo bado hawajapota, sehemu wao walipopita na mimi nilipo hazizidi mita 200.

Muda huu nimetoka Airtel shop wametazama wamesema imeungua so wanaandikisha ili ibadilishwe. Imebidi tu nirudi Airtel sababu uwezekano wa kuipata fiber ndani ya wiki moja au mbili siuoni.

Hapo Airtel hizo ODU ya kwangu ni ya 4, mmoja niliyemkuta amesema ametumia siku nne tu internet imekata. Nimewaacha wanamsoundisha achukue vile viportable vya 4G.
 
Pole sana Mkuu ila kama TTCL utaipata wako poa sana na speed yao iko vizuri tatizo lao ni kuingia kwenye IP Adress tu...
 
Mkuu kwa kuwaponda Airtel haujambo😀

Mimi na wenzangu kama 5 hivi tunamiliki hizi router toka 2023 mwezi wa 10.

Mpaka leo hakuna aliyepata changamoto na router yake, sana sana ni adapter ndizo zinakufa na replacement yake ulienda Airtel Shops wanakupa bureee. Au unaweza kutumia yeyote, hata za ving'amuzi maana zinaingiliana.

Sasa cha kushangaza eti wewe umeshaunguliwa na router 2 mpaka sasa, tena hiyo ya leo imeungua the moment ulipotaka kulipia😄

Kaka punguza fix basii.
NA kweli kuna mtu nilinunua nae router ya Airtel na mpaka leo bado anaitumia yake na anasema haina shida yoyote....
 
Screenshot_2026-06-10-22-19-48-94_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Savannah kifurushi cha 100mbps speed mpya.

Sasa hivi Mambo yanaanza kukaa vizuri, Soon na Sisi tutaingia ulimwengu wa Gigabit.
 
Back
Top Bottom