Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Ofkoz huwa namtumiaga wakala ela anilipie sababu mimi situmii line ya Airtel.

Sasa majuzi ndo nimeona mtu amepost anauza hizo router mpya 70k unapata 25mbps wakati mimi nilinunua nikapata 10mbps. Na wiki hiihii nilipanga nijaze form ya TTCL.
Siku unapata 25Mbps mkuu.

Ingia hii link run speed test utaona inachezea kwenye 20Mbps-30Mbps.

Screenshot_20260518_131416_Chrome.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20260519-094413_Speedtest.png
    Screenshot_20260519-094413_Speedtest.png
    118.8 KB · Views: 17
Leo TTCL wameweka nguzo mtaani kwetu, nguzo ilipo na home ni kama mita 50 hivi, karibu sana.

Ila cha ajabu wale wanaoweka nguzo mmoja kaniambia application hadi waje wafunge ni 160,000 kupitia hizo form zao.

Je, hizi ni taarifa za kweli? Chief-Mkwawa iNine9
Kaa rada
Mimi nilifanya hivi
1. Nilijaza form yao online baada ya kuona wamefika mtaani
2. Wakanipigia kuniambia wananipa control no, unalipa kwanza ndio wanakuja kufunga
3. Nililipa siku ioio, kesho yake wakaja vuta wire na kufunga
4. Siku ioio wakawasha
5. Kwaio ukilipa je mpaka j5 una uhakika wa huduma. Sharti tu, wawe wamefika mtaani kwako na ulipe 55k kwa control no
 
Leo wameweka nguzo mtaani na kuvuta nyaya ila wamesema kufuhga internet hadi week ijayo au after two weeks.

So hiyo 160,000 haipo wakuu? Mimi nijiandae tu kulipa hiyo 55,000 ya kifurushi pekee? Na nikijaza form labda leo, je hiyo controll number ya kulipia naweza kuipata lini?
 
Haipo unless kuwe na terms nyengine tusizozijua.

Fuata ushauri wa mdau, jaza fomu Kwanza, watakupigia wale jamaa wa survey then from there utapata connection zaidi za wafungaji.
 
Ndio Airtel ni 25mbps sasa hivi. Pia kama unajiweza ukilipa kwa mkupuo bei inashuka Sana, chini ya 60,000 kwa mwezi.
Hi kulioa
Ndio Airtel ni 25mbps sasa hivi. Pia kama unajiweza ukilipa kwa mkupuo bei inashuka Sana, chini ya 60,000 kwa mwezi.
'aa. kulipa kwa mkupuo ndo inakuwaje?
 
Habari zenu tena wakuu.

Leo hapa home wamekuja YAS Fiber. Wamesema kuanzia tarehe 1 wanaanza huduma ya fiber rasmi. Kwa 55k unapata 20mbps. TTCL tayari wao wameshaweka nguzo, wamesema after two weeks wanaanza kutoa Internet eneo hili, wao kwa 55k wanatoa 60mbps.

Sasa Wakuu mnanishaurije hapo, niende na yupi?

iNine9 Chief-Mkwawa

Na wengine woote.
 
Jana nilikuwa sehemu, kwenye simu niconnect fiber ya TTCL, ile ngoma ina mwendo wazee, halafu router zao zina jina kabisa la TTCL.

Ila wale wanaotumia wanasema TTCL ukipata changamoto ni mtihani sana kutatua, waliwahi kukaa hadi siku 4 bila Internet.
 
Back
Top Bottom