Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Safi mkuu kula maisha

Me gamer nacheza sana Efootball na PUBG
Mimi Games napenda sana kuliko movies.

Games nimecheza
Call of Duty modern warfare II,
Call of Duty modern warfare III,
Call of Duty modern warfare IV,
Call of Duty Black Ops 1
Call of Duty Black Ops 2

Medal of Honor 3 sijui 5 ileee, mnapambana na Taliban, Game ya moto saana hii.

Call of duty V World at War WW II

FIFA nimecheza hadi 15
EA sport ya 26 nilicheza ktk PS5 kwa mshkaji.

Nimeona kuna Call of Duty mpya kuanzia 2019 hadi 2022, inabidi nitafute Gaming PC. Hii sasa itakuwa mwisho wa mwaka.
 
Mimi Games napenda sana kuliko movies.

Games nimecheza
Call of Duty modern warfare II,
Call of Duty modern warfare III,
Call of Duty modern warfare IV,
Call of Duty Black Ops 1
Call of Duty Black Ops 2

Medal of Honor 3 sijui 5 ileee, mnapambana na Taliban, Game ya moto saana hii.

Call of duty V World at War WW II

FIFA nimecheza hadi 15
EA sport ya 26 nilicheza ktk PS5 kwa mshkaji.

Nimeona kuna Call of Duty mpya kuanzia 2019 hadi 2022, inabidi nitafute Gaming PC. Hii sasa itakuwa mwisho wa mwaka.
😃😃Utengwee
 
Me games za mission zinanishinda huwa nawai kuzichoka... Napenda Hizi za One V one
Pole saana, za mission zina story nzuri ya kusisimua.

Black Ops 2...

1. Agent wa CIA, anatekwa huko Africa, kusini mwa jangwa la sahara, anatekwa na kikosi chake chote kinauwawa ila yeye anabaki hai, anaitwa Frank Woods. Jonas Savimbiiiii yupo humu ndani, Savimbi ktk uhalisia alikuwa Agent wa CIA kweli.

2. Boss wake wa CIA, Hudson anaamua kufatilia Ajent wake, anamchukua na Alex Mason, rafiki mkubwa wa Frank Woods. Wanaenda Africa kufanya special mission ya kumtafuta Frank Woods.

3. Hatimae wanampata, meli ambayo walimpata Woods inaharibika, wanatafuta kituo cha karibu wapige simu kwa ajili ya msaada. Hatimae wanakutana na jamaa mmoja anaitwa Raul Menendez, huyu gunner, alihusika na kumteka Woods.

4. CIA inajikita zaidi kumfahamu Raul Menendez ni nani? Wanakuja kujua jamaa ana nguvu kubwa saana, kifedha na jeshi binafsi. Na wakagundua jamaa anaiwinda saana Marekani kutokana na Marekani kuharibu familia yake.

5. CIA inakwenda hadi Afghanstan ili kupata taarifa zaidi za Raul Menendez, hatimae Afghanstan inavamiwa na Russia, Frank Woods, Alex Mason na Ray Hudson wanaingia kazini kuisaidia Afghanstan dhidi ya uvamizi huo, aiseee hii mission ya moto saaana. Stinger missiles zinaangusha saana helicopter za Russia na vifaru. Nafikiri hii imejikita ktk true story iliyowahi kutokea miaka ya zamani.
 
Kupanga ni kuchagua sasa
 

Attachments

  • Screenshot_20260513-095905_TikTok Lite.png
    Screenshot_20260513-095905_TikTok Lite.png
    864.6 KB · Views: 23
  • Screenshot_20260513-095558_TikTok Lite.png
    Screenshot_20260513-095558_TikTok Lite.png
    451.5 KB · Views: 24
Airtel kwa home rooter ni 70k , hii kwangu naona inanisumbua ghali ikiwa matumizi yangu madogo aise nataka kuwakacha na fiber hawajafika mtaani kwangu optional nyingine rahisi ata speed ikiwa chini like 10mbps sio mbaya sina matumizi makubwa.
 
Kuna mahali nimeona Airtel kile kifurushi cha 10mbps kwa 70k sasa ni 25mbps kwa bei hiyohiyo. Wakuu hii ni kweli?

Nilipanga mwezi huu ndo iwe mwisho wa Airtel nivute tu Fiber ya TTCL.

iNine9 Chief-Mkwawa
Ndio Airtel ni 25mbps sasa hivi. Pia kama unajiweza ukilipa kwa mkupuo bei inashuka Sana, chini ya 60,000 kwa mwezi.
 
Ndio Airtel ni 25mbps sasa hivi. Pia kama unajiweza ukilipa kwa mkupuo bei inashuka Sana, chini ya 60,000 kwa mwezi.
Kwa mkupuo ni kama miezi mingapi? Wakati navuta hii kwa mara ya kwanza nikataka nilipe kwa mkupuo wakasema hawana hiyo option. Nikawaona mizinguo, FIBER ya TTCL naona wao wanayo hiyo option.
 
Kwa mkupuo ni kama miezi mingapi? Wakati navuta hii kwa mara ya kwanza nikataka nilipe kwa mkupuo wakasema hawana hiyo option. Nikawaona mizinguo, FIBER ya TTCL naona wao wanayo hiyo option.
Ukiingia kwenye menu standard vifurushi ni vya siku 30, hivi huwa havibadiliki.
Screenshot_20260517_130717_Phone.jpg


Kuna muda pia huwa wanaruhusu kujiunga siku 90(miezi 3) na siku 180(miezi 6). Sema hizi options kuna muda huwa zinakuwepo na kuna muda wanazitoa.
Screenshot_20260517_130750_Samsung capture.jpg


Screenshot_20260517_130819_Samsung capture.jpg
 
Back
Top Bottom