Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,507
- 34,689
Niliona poster status ya bei zaoUlizia Halotel fiber bei Yao, huku Tanga wame match bei na TTCL around 55K, kama bei ni Sawa na huna watumiaji wengi ni alternative nzuri kwa TTCL.
Niliona poster status ya bei zaoUlizia Halotel fiber bei Yao, huku Tanga wame match bei na TTCL around 55K, kama bei ni Sawa na huna watumiaji wengi ni alternative nzuri kwa TTCL.
sawasawa, maana natumia halotel(na watu kadhaa) ya 70k kwa 30Mbps ila limit 600GBHawana limit mkuu wao kwa siku ukiwa rafu sana wana yaani ile sana wana throttle speed tu ambayo bado inatosha kufanya mambo yako.. ila ile peak FUP ya GBs hawana sijaona mtu analalamika kuhusu FUP kwa Voda toka walete bando za 5G na hizo SMEs bando... Kama una mudu bei zao na ulipo mtandao uko vizuri just nunua tu, hiyo package ya 10mbps ukiwa sehemu nzuri huwa inaenda 15mbps hadi 17mbps..
Gb mia sita tuu🤔sawasawa, maana natumia halotel(na watu kadhaa) ya 70k kwa 30Mbps ila limit 600GB
Naam, ukifika hapo ni mwendo wa kobeGb mia sita tuu🤔
Duuh 😄😄 kumbe wao FUP ni 600gb, Airtel ni 700gb hicho hicho kifurushi cha 70k, na kwa Yas wao 36gb per day..sawasawa, maana natumia halotel(na watu kadhaa) ya 70k kwa 30Mbps ila limit 600GB
Fiber yao nzuri mkuu, usisite kufunga kama unaweza.. labda waje wabadilike huko mbeleni si unajua tena hizi kampuni hapa bongo ni unreliable wakati mwingine 😅 zikiwa pressurized tu na mifumo au mamlaka basi zinaanza mauza uza...Niliona poster status ya bei zaoView attachment 3587328
Kazi ipo😃Naam, ukifika hapo ni mwendo wa kobe
TTCL wamepita mtaani kufunga nyaya zao ngoja nitaona niwachukue wao au halotelFiber yao nzuri mkuu, usisite kufunga kama unaweza.. labda waje wabadilike huko mbeleni si unajua tena hizi kampuni hapa bongo ni unreliable wakati mwingine 😅 zikiwa pressurized tu na mifumo au mamlaka basi zinaanza mauza uza...
0759 600 031View attachment 3581649
Nitafute simcard ya mtandao upi?
Gharama ni zipi kwa speed ipi? kwa mwezi?
Muda niliotumia Airtel unatosha nahitaji kujaribu Mtandao Mwingine. Nipe maoni yako.
Nakaa mtaa fulani hivi wa kishua, ni ngumu kumuulza mtu kuhusu TTCL pia sijaona hata mmoja ambae ameifunga, binafsi huwa sijui nyaya ya fiber ipoje.Bwana Aleyn: Kama walisema brothers hapo juu hizo zote fibers bei inafanana ni kuanzia 55k iko hivi...
1. HaloFiber 55k - speed ni 20mbps (Mimi niko Mwanza nmetumia kwa jamaa yangu mmoja mtaa wa pili wamefika wako vizuri sana na speed iko gud mno kila siku napita hayo maeneo sabu ndo njiani kuelekea harati zangu na WiFi zao zina signal nzuri na stable sijawahi sikia jamaa ana lalamika downtime yake na HaloFiber ukichelewa malipo inaweza enda mpaka weeks 2 mbele 😄😄 ndo baadae wanakupigia wao kukuulizia kuhusu malipo, kingine kukiwa na shida wanakubali kufidia ni very friendly na ukilipia miezi 3 wanakupa ofa ya karibu weeks 2 bure au mwezi mzima)
2. TTCL Fiber 55k - speed 60mbps (Wameongeza hivi karibuni kutoka 20mbps, kuna watu baadhi naona wanaisifia iko stable ila mimi asilimia kubwa naona malalamiko na hawa jamaa mambo ya fidia sahau endapo ikitokea changamoto, pia ukichelewa malipo naona watu wanadai huwa wanapiga simu kama mvua kuliko za kushughulikia matatizo na wakati mwingine wana tishia kuja kubeba vifaa vyao kama unachelewa kulipia, nmesoma reviews nyingi kuhusu TTCL watumiaji asilia kubwa wanalalamika TTCL wana ego sana hasa kama kuna kukatika mtandao suala la fidia (compensation) wagumu mno) 👇
Ushauri wangu; Fanya simple research kama kuna watu unawajua hapo mtaani kwako wamefunga hiyo TTCL ongea nao waulize experience yao hilo eneo kama TTCL watakua vizuri eneo hilo na very kind kwenye customer care fanya ufunge TTCL sababu 60mbps ni advantage kubwa over 55k,... Ila kama Halotel wapo tayari wana distribution boxes eneo hilo na wewe hutaki stress na una matumizi ya kawaida unaona 20mbps (Matumizi ya kawaida less than 2mbps speed watu 10) inakutosha just funga HALOTEL hawana mambo mengi na wako chap kuja kufunga huwa hawazidi week ni siku 2-4 ukiwa ndani ya meters 500.. angalia pia Yas Fiber kama wapo eneo lako ni speed ya 20mbps ni 48k tu wako vizuri pia, alafu Vodacom Fiber bei zake hazina tofauti na hizi za ku activate laini, so kuliko kufunga fiber kama una router bora uwezeshe laini tu regards mtandao unapokaa uko poa.
Unanishawishi ninunue router ya 5G then nisajili hiyo line unlimited ya Voda. Voda nilipo wako poa kuliko mitandao yote. Kwenye simu tu natumia 4G ila mwendo wake ni mzuri sana.Hawana limit mkuu wao kwa siku ukiwa rafu sana wana yaani ile sana wana throttle speed tu ambayo bado inatosha kufanya mambo yako.. ila ile peak FUP ya GBs hawana sijaona mtu analalamika kuhusu FUP kwa Voda toka walete bando za 5G na hizo SMEs bando... Kama una mudu bei zao na ulipo mtandao uko vizuri just nunua tu, hiyo package ya 10mbps ukiwa sehemu nzuri huwa inaenda 15mbps hadi 17mbps..
Router au fiber mkuu? Na speed yake ipoje?sawasawa, maana natumia halotel(na watu kadhaa) ya 70k kwa 30Mbps ila limit 600GB
600 kwa mtu mmoja au wawili sio haba, ni nyingi.Naam, ukifika hapo ni mwendo wa kobe
Kama uchumi wako una ruhusu nunua tu used zimejaa mno mtaani au check FB kule Market Place bei 30k - 40k hapo unapata box ingine...hizo huwa zikiungua zinaunguza motherboard kabisa sio rahisi kuua componet moja let's say capacitor au diode moja moja 😄 probably hapo power supply lazima iwe imekula mkasi....Cheif, hivi kuna mafundi wa kurekebisha hizi router? yakwangu zlt x25 imepiga shoti pamoja power bank yake
Nasikia Savanna ni kama voda vile, ni mwendo haswaaaaFiber yao nzuri mkuu, usisite kufunga kama unaweza.. labda waje wabadilike huko mbeleni si unajua tena hizi kampuni hapa bongo ni unreliable wakati mwingine 😅 zikiwa pressurized tu na mifumo au mamlaka basi zinaanza mauza uza...
Usisite kutupa mrejesho mkuu, maana mimi nipo dilema hapa, nijaze form ya TTCL au niende tu Halotel waje wao moja kwa moja.TTCL wamepita mtaani kufunga nyaya zao ngoja nitaona niwachukue wao au halotel
Kama kuna fiber imepita kwako mzee we funga tu hata hao Savannah ni wazuri mbona tena 49k unapata 20mbps, ila TTCL Fiber waweke mwishoni ni wasumbufu sana (wawe last option ukiwa huna namna ingine).. Fiber upande wa bando na speed ina nafuu kuliko hayo mabox ya 5G ya Airtel na HalotelNasikia Savanna ni kama voda vile, ni mwendo haswaaaa
ZLT X25 zile za Airtel zinafaa kweli kuchakachuliwa?0759 600 031
👆
Njoo tu unlock 🔓 mwalimu..
Firmware version iwe chini ya 4.0.1 au hapo hapo inatoka.. zaidi ya hapo endelea tu kutumia na mtandao huo huo wa Airtel haitock lock.ZLT X25 zile za Airtel zinafaa kweli kuchakachuliwa?
Kwa sasa natumia Airtel ya 5G, kwa speed ya 5g sio haba, naweza kustream mechi online bila shida kabisa nikitumia simu. TV yangu haiisomi 5G, so nikistream kwa TV ni changamoto na kwa TV naona ni bora zaidi kuliko kustream kwa simu.Kama kuna fiber imepita kwako mzee we funga tu hata hao Savannah ni wazuri mbona tena 49k unapata 20mbps, ila TTCL Fiber waweke mwishoni ni wasumbufu sana (wawe last option ukiwa huna namna ingine).. Fiber upande wa bando na speed ina nafuu kuliko hayo mabox ya 5G ya Airtel na Halotel