iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 5,214
- 10,169
Hii ni ZLT X28, zikatoka lock na ni adimu sana kuzipata siku hizi na walio nazo wengi hawataki kuziuza sababu nzuri hata mtandao hazi sumbui sana..Router nzuri ni hizi za Airtel mkuu za 5G unaichakachua iingie line zote, itakua nzito kubeba ila speed haina mpinzani compare na hizi router za mtaani.
iNine9 anajua model zinazotoka lock, ila ukipata Ile ya zamani ambayo imekaa na angle Kali ni nzuri zaidi, muonekano kama huu
View attachment 3576249
Kuna zile ZLT X25 toleo la awali kabisa lile zinatoka lock pia sema firmware version iwe 4.0.1 isizidi hapo...