Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

In theory ila in reality inaweza isitoboe hapo, inaweza shuka Hadi 20mbps ama Chini ya hapo, ukumbuke 2.4ghz haimilikiwi na MTU kila MTU anatumia hio hio mkiwa wengi inazingua Sana.
Kingine 2.4ghz ina sifa ya kutawanya mawimbi kwa umbali mrefu huku 5ghz ni kwa umbali mdogo, ndiyo maana 5ghz inakuwa strong sana ikiwa mtumiaji yupo karibu na Router.
 
Niwe tu mw
Niwe tu Mkweli Hii Speed ya TTCL Ni Fire aiseee... Kwa Mara ya Kwanza nimeweza kutumia Gb 200+ per day. Vodacom kipindi cha Nyuma ndio nilikuwaga natumia mpaka GB 100 per day ila siku hizi nilikuwa nikifika Gb 60 ni mara chache sana.
Aisee GB 200 per day.Hivi haina data caps unaweza tumia kiasi chochote cha GB kwa siku?
 
IMG_9843.jpeg
 
In theory ila in reality inaweza isitoboe hapo, inaweza shuka Hadi 20mbps ama Chini ya hapo, ukumbuke 2.4ghz haimilikiwi na MTU kila MTU anatumia hio hio mkiwa wengi inazingua Sana.
Mkuu unapo sema 20mbs naomba ufafanuzi kwa lugha rahisi hapo kwenye screenshot panaposoma 761B/s patasomekaje pale speed ikiwa ya juu kabisa(ya kasi kabisa)
Screenshot_20260415-185924.png
 
Mkuu unapo sema 20mbs naomba ufafanuzi kwa lugha rahisi hapo kwenye screenshot panaposoma 761B/s patasomekaje pale speed ikiwa ya juu kabisa(ya kasi kabisa)
View attachment 3573300
20÷8 ni ni 2.5MB/s

Sema ndio speed zinaongezwa sasa hivi possible Mtoa huduma karibu yako akawa anakupa mara mbili mpaka 3 ya hio.
 
Na kwanini inagawa kwa 8? Wengine sio wajuzi haya mambo, na je ni sahihi kwa kila namba kwenye Mbps inayoandikwa igawe kwa 8 ilikupata exactly MB/s?
Mitandao wanatumia Mbps kwenye promotion ili kupata "hype" kubwa lakini simu na Laptop nyingi zinasoma MBps..
Ukiona sim yako inaandika 10, 11, 12 MBps pale juu wakati unadownload Hiyo ni sawa au inakaribia 100Mbps unayoiona kwenye Vipeperushi vyao Airtel voda Ttcl Yas na wengineo.....
 
Ndiyo mana mimi kwenye simu natumiaga third part app then nabadili zisome kwenye mbps na siyo MBps ili roho yangu irizike nione live speed ninayoipata,, by default ile feature ya simu inasomaga MBps huwa siipendi naona bora nitumie hizo third apps
 
Leo TTCL wamekuja kunifungia Fibre yao, ila nimeshanagaa kwamba Password ya Router wao ndio wanaweza kuniadilishia na sio mimi , pia ata jina la WiFi siwezi kubadilisha mpaka wao, Na kibaya zaidi siwezi kuingia kwenye Ip Address🤦🏾‍♂️ kiukweli nimechoka kabisa...
mimi niliangalia nyuma router nika log in ikakubali
 
Unaongea habari za mwaka 2024 mi nilienda tarehe 06/04/2026? Nafanya kazi mtaa wa Samora na branch yao kama siyo jengo zima si ndo makao makuu pale wameniambia huduma imesitishwa wanasema wanapata hasara nikawaambia watutoze hata 10k wengine tuko tayari kulipia mi siwezi kuwa najitungia acha kukurupuka mi naongelea recently we unaongea enzi hizo Tundu Lissu yuko uraiani?
Sasa unani attack nini mzee..?! Kuelezea kua TTCL wana huduma ya eSIM nimekosea nini au nmekurupuka vipi? Na kwenye ujumbe wako wa awali uli address ya kua wamekuambia kua huduma imesitishwa..?! Jifunze ku reply jumbe za mtu wisely, nadhani ww ndo sasa hapa una kurupuka kujibu kwa hasira au eSIM imeanza kutolewa TZ mwaka 2026 we jamaa vipi 😄

Mimi kusema hivyo sikua najua ya kua wamesitisha kwa sababu hata walivyoianzisha hiyo huduma hawakuipa promo sana yaani ni kama they didn't give a fvck about it, na mi sikua najua kama ipo rasmi ndo siku 1 nilienda shop yao kufatilia issue nyingine kabisa nikatokea kuwauliza kama huduma ipo wakanijibu wanayo na ni 3000 nikawaambia waniwekee tena kwa special number inakubali so since then sijajua what's going around their service, just calm down na kunywa maji mengi upunguze munkali, you hadn't a reason to be angry at me.
 
Mitandao wanatumia Mbps kwenye promotion ili kupata "hype" kubwa lakini simu na Laptop nyingi zinasoma MBps..
Ukiona sim yako inaandika 10, 11, 12 MBps pale juu wakati unadownload Hiyo ni sawa au inakaribia 100Mbps unayoiona kwenye Vipeperushi vyao Airtel voda Ttcl Yas na wengineo.....
1 MBps = 8 Mbps

10 MBps x 8 = 80 Mbps
11 MBps x 8 = 88 Mbps
12 MBps x 8 = 96 Mbps
 
mimi niliangalia nyuma router nika log in ikakubali
Duuh ulikua na bahati huenda walijisahu ku change, TTCL wabishi sie kazini kipindi hiko tulifunga, tulikua mpaka tuwapigie simu waligoma kutupa access.. Ila HaloFiber wanyamwezi wao wanakupa access ya router yako fresh tu ila uta change zile default login credentials..
 
Na kwanini inagawa kwa 8? Wengine sio wajuzi haya mambo, na je ni sahihi kwa kila namba kwenye Mbps inayoandikwa igawe kwa 8 ilikupata exactly MB/s?
Mkuu hajagawa kwa 8 kwa bahati mbaya, yaani kwa hesabu rahisi iko hivi..

1 MBps/MB (Megabyte) ni sawa sawa na 8 Mbps (Megabits) hizi ni zile standards za kimataifa (SI Units) na angalia hapo moja inaishia na byte nyingine bits

So 20Mbps ukigawa kwa 8 ndo unapata hiyo 2.5MBps

Hii Megabyte inatumiwa sana na vifaa vinavyotumia internet na hiyo Megabits inatumiwa sana na ISP (Mtoa huduma ya internet), Switch Ports na nyaya zinazo safirisha data ya internet, ISPs wanaitumia sana kama sehemu pia ya mkakati wa biashara yaani mtu akiskia 100Mbps anaona nyingi sana kumbe ki uhalisia ukiwa una download kitu online na ukawa unaifikia kabisa hiyo speed ya 100Mbps unapata 12.5 MB/s tu.
 
Mitandao wanatumia Mbps kwenye promotion ili kupata "hype" kubwa lakini simu na Laptop nyingi zinasoma MBps..
Ukiona sim yako inaandika 10, 11, 12 MBps pale juu wakati unadownload Hiyo ni sawa au inakaribia 100Mbps unayoiona kwenye Vipeperushi vyao Airtel voda Ttcl Yas na wengineo.....
Umefafanua kwa lugha rahisi shukran
 
Mkuu hajagawa kwa 8 kwa bahati mbaya, yaani kwa hesabu rahisi iko hivi..

1 MBps/MB (Megabyte) ni sawa sawa na 8 Mbps (Megabits) hizi ni zile standards za kimataifa (SI Units) na angalia hapo moja inaishia na byte nyingine bits

So 20Mbps ukigawa kwa 8 ndo unapata hiyo 2.5MBps

Hii Megabyte inatumiwa sana na vifaa vinavyotumia internet na hiyo Megabits inatumiwa sana na ISP (Mtoa huduma ya internet), Switch Ports na nyaya zinazo safirisha data ya internet, ISPs wanaitumia sana kama sehemu pia ya mkakati wa biashara yaani mtu akiskia 100Mbps anaona nyingi sana kumbe ki uhalisia ukiwa una download kitu online na ukawa unaifikia kabisa hiyo speed ya 100Mbps unapata 12.5 MB/s tu.
Ahsante naomba kuuliza nchi kama Korea na jaoani kunakodhanuwa Kuna speed kubwa ya internet (Sina uhakika ni story tu) na huko USA speed kubwa kuwahi kurekodiwa ilifika MB NGAPI KWA SEKUNDE?
 
Watu wakisema speed kubwa huwa wanacount average. Ila speed kubwa kabisa ya internet huwezi Tumia kwenye kifaa chako maana utakua bottlenecked na hardware zako kama storage, router etc.

Ila hata hapa Tanzania kina Airtel na TTCL Wana speed Materabyte kwa sekunde,
 
Kwa ushauri mkuu router Gani nzuri namaanisha hizi za kubeba mfukoni na malipo kwa mwezi yanacheza kwenye sh ngapi maana nimechoshwa na hivi vifurushi vya kupimiwa
 
Back
Top Bottom