Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kwa ushauri mkuu router Gani nzuri namaanisha hizi za kubeba mfukoni na malipo kwa mwezi yanacheza kwenye sh ngapi maana nimechoshwa na hivi vifurushi vya kupimiwa
Router nzuri ni hizi za Airtel mkuu za 5G unaichakachua iingie line zote, itakua nzito kubeba ila speed haina mpinzani compare na hizi router za mtaani.
iNine9 anajua model zinazotoka lock, ila ukipata Ile ya zamani ambayo imekaa na angle Kali ni nzuri zaidi, muonekano kama huu

images-36.jpeg
 
View attachment 3576249
Mkuu hii ni kwa ajili ya home) office namaanisha zile mdogo za mfukoni?
 
🔹Hivi ni kweli unlimited data au Kwa malipo ya 70,000 labla wanaweka GB kiasi Fulani halafu wanacheza na kuiminya spidi kafiri Matumizi yanavyokngezeka?

🔹 Kama kweli ni unlimited mbona garama za fifurushi vya kawaida Bei imekuwa kubwa? internet ya rauter wao wanaipata wapi?
 
Mkuu hajagawa kwa 8 kwa bahati mbaya, yaani kwa hesabu rahisi iko hivi..

1 MBps/MB (Megabyte) ni sawa sawa na 8 Mbps (Megabits) hizi ni zile standards za kimataifa (SI Units) na angalia hapo moja inaishia na byte nyingine bits

So 20Mbps ukigawa kwa 8 ndo unapata hiyo 2.5MBps

Hii Megabyte inatumiwa sana na vifaa vinavyotumia internet na hiyo Megabits inatumiwa sana na ISP (Mtoa huduma ya internet), Switch Ports na nyaya zinazo safirisha data ya internet, ISPs wanaitumia sana kama sehemu pia ya mkakati wa biashara yaani mtu akiskia 100Mbps anaona nyingi sana kumbe ki uhalisia ukiwa una download kitu online na ukawa unaifikia kabisa hiyo speed ya 100Mbps unapata 12.5 MB/s tu.
12.5 MB/s ni kasi kubwa hii
 
🔹Hivi ni kweli unlimited data au Kwa malipo ya 70,000 labla wanaweka GB kiasi Fulani halafu wanacheza na kuiminya spidi kafiri Matumizi yanavyokngezeka?

🔹 Kama kweli ni unlimited mbona garama za fifurushi vya kawaida Bei imekuwa kubwa? internet ya rauter wao wanaipata wapi?
Nasikia kuna muda wakiona unatumia GBs nyingi sana wanakuwa wanakupunguzia speed ya internet ili usiendelee zaidi
 
Rudi nyuma kuanzia page ya 500 utapata majibu mengi ya maswali yako...
 
Mkuu hii ni kwa ajili ya home) office namaanisha zile mdogo za mfukoni?
HAta hio ina power bank mkuu, ni movable, huwa tunazibeba assume Una Gari etc.

Kwa za mfukoni Sina specific model Ila kitu Muhimu cha kuangalia ni
-iwe na lte advanced angalau 300mbps minimum,
-iwe na mimox2 ama X4
-wifi iwe angalau 5Ghz

Nyingi za mtaani zina Ile lte ya zamani 150mbps, Ila zenye lte advanced pia zipo.
 
🔹Hivi ni kweli unlimited data au Kwa malipo ya 70,000 labla wanaweka GB kiasi Fulani halafu wanacheza na kuiminya spidi kafiri Matumizi yanavyokngezeka?
Ni unlimited data, hata ukimaliza hizo GB 500-1000 wanazokupa still unatumia bure ila kwa speed ndogo.
🔹 Kama kweli ni unlimited mbona garama za fifurushi vya kawaida Bei imekuwa kubwa? internet ya rauter wao wanaipata wapi?
Huo ni mpango wa Serikali, miaka kadhaa iliopita unlimited zilikuwepo kila mtandao kwa bei rahisi mno, Halotel Royal bundle 10,000 kwa mwezi, Tigo lite package 9000 kwa mwezi, Airtel walikua na unlimited Hadi sh 200 kwa siku, it's just speed ilikua ni ndogo Ila ni unlimited.

Unachotakiwa kuelewa mtandao wa simu wao nao wananunua internet kwa Makampuni makubwa ya chini ya bahari kama 2Africa, wao huuziwa capacity sio GB so wanalinda hio capacity kwa either kukulimit GB unazotumia ama kukupa unlimited kwa limited speed.
 
Ni unlimited data, hata ukimaliza hizo GB 500-1000 wanazokupa still unatumia bure ila kwa speed ndogo.

Huo ni mpango wa Serikali, miaka kadhaa iliopita unlimited zilikuwepo kila mtandao kwa bei rahisi mno, Halotel Royal bundle 10,000 kwa mwezi, Tigo lite package 9000 kwa mwezi, Airtel walikua na unlimited Hadi sh 200 kwa siku, it's just speed ilikua ni ndogo Ila ni unlimited.

Unachotakiwa kuelewa mtandao wa simu wao nao wananunua internet kwa Makampuni makubwa ya chini ya bahari kama 2Africa, wao huuziwa capacity sio GB so wanalinda hio capacity kwa either kukulimit GB unazotumia ama kukupa unlimited kwa limited speed.
Duh maelezo ya kitaalamu, yamenyooka kwa lugha rahisi. Kesho nawahi Airtel. Nilikuwa nanunua GB 7 za tigo kwa 10,000 hazikai siku 3 Sasa nimempata mkombozi
 
Nasikia kuna muda wakiona unatumia GBs nyingi sana wanakuwa wanakupunguzia speed ya internet ili usiendelee zaidi
Sio unaskia, ndo uhalisia wenyewe mkuu tunao upitia.... Real Unlimited Internet ni aina mbili tu hapa TZ angalau zina jitahidi..

1. Vodacom Internet (Kama utaweza afford gharama zao it's better uwatumie)

2. Fiber Internet (Kama ulipo kuna fiber reliable ni bora uunge fiber na uachane na internet za routers za mabox, Na recommend Savannah Fiber, Halofiber, Vodacom Fiber, NetsoFiber/Netsolution, Yas Fiber & TTCL Fiber wawe last option sababu wasumbufu sana mpaka waje kukufungia utasota sana)
 
Back
Top Bottom