Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Halotel yenye 30mbs siijui, mimi natumia kifurushi cha 50,000 kwa mwezi ambacho wanatoa 100 gb, 24gb kwa speed ya 10mbps na inayobakia inakuwa chini ya 1mbps.
Kuna mtu amenipa namba za Mawakala wao nimempigia ameniambia ni kweli wanatoa Router ya 5G kwa 100k wanakupa offer ya 30Mbps kwa mwezi alafu mwezi unaofuata utaanza kulipa hizo 30Mbps kwa 70k mwezi.
 
Nimewapigia watu wa TTCL Wameniambia Jumanne watakuja kujifungia ila nilipienKifurushi cha 100k Maana Fibre yao imepita katika eneo langu la kazi.

Pia kwa maravya kwanza nimeshawishika kuanza biashara ya Kuuza Internet...
kwenye kanuni ttcl wanakataa mteja kuuzia watu net kwa namna hiyo 😁

japo ni kanuni kwenye makaratasi
 
Leo TTCL wamekuja kunifungia Fibre yao, ila nimeshanagaa kwamba Password ya Router wao ndio wanaweza kuniadilishia na sio mimi , pia ata jina la WiFi siwezi kubadilisha mpaka wao, Na kibaya zaidi siwezi kuingia kwenye Ip AddressšŸ¤¦šŸ¾ā€ā™‚ļø kiukweli nimechoka kabisa...
 
Hao mpaka uwaite pembeni aisee, kama Una no Yao mtie sound atakupa,
 
Watanipa Access ya kuingia kwenye Ip Address?
Ip address ipo Tu haiwezi ondoka, watakupa hio login page + user na pass, niliwahi kuwa nayo TTCL, pia kama router Yao ni Ile Ile hawajaibadili NI router moja Kali Sana, hakuna Fiber company yenye router nzuri kushinda zao, ukiwa na access utaenjoy mambo mengi.
 
Hii ni kweli pia ukiwezesha band ya 5Ghz unapata speed nzuri zaidi hasa wenye kifurushi cha kuanzia laki moja.
 
5GHZ haiongezi speed ya internet Bali ya WiFi. Assume nyumbani mpo watu 10, wote mnatumia router moja 5GHZ inasaidia wote kupata speed nzuri ila speed ya internet itabaki Ile Ile ya kifurushi chako.
 
Ip address ipo Tu haiwezi ondoka, watakupa hio login page + user na pass, niliwahi kuwa nayo TTCL, pia kama router Yao ni Ile Ile hawajaibadili NI router moja Kali Sana, hakuna Fiber company yenye router nzuri kushinda zao, ukiwa na access utaenjoy mambo mengi.
Kaka naomba utufahamishe utofauti uliopo kati ya kutumia configurations wanazokupa wao na namna ambayo wadau wengi wanapenda kupewa uhuru wa kuichezea Router kwa namna wanavyotaka wao?.
 
View attachment 3566627

mzigo wa uhakika ni ttcl, package yao ya 55k ya sasA

Mzee jaribu HALOTEL Fibres
Screenshot 2026-04-12 113214.png
 
Leo TTCL wamekuja kunifungia Fibre yao, ila nimeshanagaa kwamba Password ya Router wao ndio wanaweza kuniadilishia na sio mimi , pia ata jina la WiFi siwezi kubadilisha mpaka wao, Na kibaya zaidi siwezi kuingia kwenye Ip AddressšŸ¤¦šŸ¾ā€ā™‚ļø kiukweli nimechoka kabisa...
Speed yao ikoje?
 
Back
Top Bottom