Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wakuu,
Nina router ya airtel ZLT x25 ninalipia kifurushi cha 70k, mwanzoni ilikuwa ina speed nzuri tu kulingana na matumizi yangu. Ila kwa sasa speed imekuwa ya kusuasua sana. Siwezi hata kuangalia video bila kukatakata. Je wamepunguza speed au?
Mpaka leo bado inasumbua?

Kama tatizo la namna hii litadumu zaidi ya 24 hours basi source inaweza kuwa kati ya haya mambo:

1. Fair Usage Police (Data Cap)
2. Network Strength ya eneo ulilopo.

Moja ya maneuvers unayoweza kufanya ili kurule-out viji-source vidogodogo ni kuwasha na kuzima router yako au fanya kui-reset kabisa ianze mwanzo.
 
Mkuu unawaponda sana mpaka unaenda off target sasa😂

Kuhusu 5G sina uhakika kama hawana, ila nilicho na uhakika ni kwamba TTCL wana eSIM Service toka zamani tu, na mimi nina line yao na nimeunga kwa eSIM
View attachment 3559995
Samahani wakuu hivi simu yako ikowa na huduma ya Esim unaweza kusajili na kutumia mfumo wa esim kweny laini zaidi ya 1 mitandao tofauti tofauti kweny simu moja na zikakubali, naje zote zinaweza kuwa hewani kwa pamoja mda mmoja au unakuwa unaswitch laini moja zingine zinaendelea kuwa offline yaani kutokupatikana?? Maomba kueleweshwa vizur, asante, Karibuni.
 
Iko hivi Esim unaweza kuziweka hadi nane ila kwenye kufanya kazi zinafanya kazi mbili tuu unakua na Option mwenyewe uzime ipi na Uwashe ipi pia unayo maamuzi hata ya kutumia Line moja ukishazisajili jukumu ni lako uiwashe ipi au uizime ipi kazi inabaki kwako mimi hata ziko nne ila nimeiwasha Vodacom nikienda porini mara nyingi nawasha Airtel Tazama hapa chini zinavyokua nimeingiza nne na bado inadai line nyingine

IMG_1712.jpeg
 
Ndio, speed inatosha kustream 4K popular sites na ping nzuri kwa games. Unless unatumia sites ambazo hazi compress video hizi site za kawaida kama YouTube, Netflix etc uta stream kwa quality yoyote bila shida.
Mkuu nina Lenovo Thinkpad L15 Gen 2
(8GB RAM, 256GB ROM, Core i5 Gen 11)

Nataka kubadili RAM kuweka 32GB, ila sina uelewa sana na laptops, je kuna brands za kuaminika wakati unanunua RAM? Na jinsi ya kubadilisha je, naweza kufanya mwenyewe au ni bora nikawapa watu wa madukani wanibadilishie, sijawahi kufungua laptop before.
Nauliza kama kuna risk ya watu kubadilisha compenents za ndani bila ridhaa yako wakati wana exchange RAM. Na gharama zake zina range Tsh ngapi nisije nikapigwa

Pia kuhusu SSD, nataka nipate ya 2TB, the same sijui bei yake, sijui jinsi ya kubadili pia, hapa pia nauliza kaka kuna brands za kuaminika.
Lengi ni laptop yangu iwe na 32GB RAM na 2TB SSD basi
 
Sasa hivi bei ya ram na SSD ipo juu Sana kama unanunua mpya, kuanzia kama laki 5 mpya, Ddr4 nzuri yenye speed nzuri kama 3200mhz.

Same kwa SSD 2TB Itaku cost humo humo around 500K.

Kuhusu kubadili sio KAZI unaweza angalia hapa

View: https://m.youtube.com/watch?v=d76CCrYYIak

Ukitoa Tu mfuniko wa nyuma unaweza kuzipata ram.

Ushauri mkuu kuhusu ram na SSD tafuta mtaani, second hand, bei hazijapanda Sana kama mpya.

Hakikisha Tu ram zinakua mbili zinazofanana speed, mfano 26GB x 2 za 3200mhz inasaidia kukupa bandwidth zaidi kwa machine hizo ambazo hazina dedicated graphics card.
 
Shukrani ngoja niangalie hiyo video, hapo kwa 26×2 nadhani unamaanisha 16GB×2
Hivi inawezekana ukaweka 16GB moja, halafu nyingine ukaongezea siku za mbeleni badala ya kuweka zote kwa pamoja. Kwa sababu bei ni kubwa, yani niweke moja leo, nyingine baadae
 
Back
Top Bottom