Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,592
- 15,404
Acha kupotosha dada niko humu kabla hujaanza chekecheaHuyo jamaa ubishi wake wote ni kuwa 5G haijafika ilala na sio kuhusu 5G ni kwa routers tu
Acha kupotosha dada niko humu kabla hujaanza chekecheaHuyo jamaa ubishi wake wote ni kuwa 5G haijafika ilala na sio kuhusu 5G ni kwa routers tu
Kampuni zote wamechukua 3500, wengine Wana band zaidi ya moja lakiniAlf wao walichukua frequency ya 3500 Kama sikosei. Na network yao sijui itakuwa vp. Mana hawa jamaa sometimes wanakuwa hawapo reliable na hasa kwenye fiber yao watu we nawaona wakilalamikia
Kwako imefanikiwa kusoma 5G?Kampuni zote wamechukua 3500, wengine Wana band zaidi ya moja lakini
Mwanzo mwanzo atleast tuta enjoy hio speed wakija kuzidiwa baadae kutakua na Alternative.
Sijaweka bado, nikipata Muda nitaitest,Kwako imefanikiwa kusoma 5G?
Ttcl inabidi ukomae, Nina jamaa yangu yupo maeneo hayo kavuta hio TTCL, bila kwenda ofisi zao asubuhi ukaongea na mafundi hao jamaa wanaweza wasikupigie simu kabisa.Habari wakuu
Nahitaji kujiunga na huduma ya fiber halotel au ttcl
Nimefanya applications tayari ila sijapokea simu kutoka kwao na ni muda tayari umepita
Nahitaji mtu atayeweza kulifanya zoezi langu kwa haraka aisee mchuzi upo
Wilaya ya ilala kata kipawa.
Nyi tatizo lenu mnatakaga pesa kabla ya kufanya kazi ukitumiwa una m block mtu badilikeni kwa kifupi ni utapeli tuu we hizo bundle unazitoa wapi?Mwenye uhitaji na GB za halotel
Kuanzia GB 7 nakuendelea.
GB 7 Kwa buku 7000
Gb8 Kwa 8000
GB 9 Kwa 9000
GB 10 Kwa 10000
Gb 11 Kwa 11000
Gb12 Kwa 12000
Nakuendelea...........DM chapu chspu
Kuna mtu nilimpataga huku anaitwa superleta aliniungaga vizuri tu ila nilipopoteza line sijarenew tenaNyi tatizo lenu mnatakaga pesa kabla ya kufanya kazi ukitumiwa una m block mtu badilikeni kwa kifupi ni utapeli tuu we hizo bundle unazitoa wapi?
Mkuu juzi nimeona jamaa wa halotel wanatandaza fibre yao kibamba ndani ndani huko,yan ni uswahili hasa,una taarifa zao kuhusu ubora wa fibre yao?Ama watakua na vifaa vyao maalum, Tcra walipouza 5G Halotel alikua ni mmoja wapo alioshinda Mnada, wenzao wote wametoa 5G kasoro wao, so sio Jambo la ajabu na wao kupandisha 5G ni swala la mda Tu.
Fiber zote ni Bora, issue ya Fiber ni kukiwa Tu na outage kama vile waya zikikatika, hasa Barbara zetu hizi na malori, kama kuna jirani ama MTU anatumia eneo la karibu muulize kama inakataka kata, kama haikati then mambo mengine kama kushushiwa speed ama kupewa limit ya data kwenye fiber hamna.Mkuu juzi nimeona jamaa wa halotel wanatandaza fibre yao kibamba ndani ndani huko,yan ni uswahili hasa,una taarifa zao kuhusu ubora wa fibre yao?
Karibu uiwezeshe line yako ya Vodacom kupata vifurushi vya M2M. Huduma ni buree hakuna malipo. 0795790411Kuna mtu nilimpataga huku anaitwa superleta aliniungaga vizuri tu ila nilipopoteza line sijarenew tena
Tuone bei zake kwanzaKaribu uiwezeshe line yako ya Vodacom kupata vifurushi vya M2M. Huduma ni buree hakuna malipo. 0795790411
Tuone bei zake kwanza
Mitandao mingi ya simu sasa hivi ni 60,000 mpaka 70,000 hapo, Halotel unapata 30mbps, Airtel ni 20mbps wengine 10mbps. Sema voda ya 115K ni 4G router yako ina 5G?Naombeni cheapest unlimited option kwa ajira ya router yangu. Nilikuwa natumia voda ya 20Mbps kwa Tsh.1115000
NB router ni universal