Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mkuu naomba muongozo. Kuna raia nimempa simu ya Nokia yenye android 10 ambayo haikuwa na betri. Sasa ameweka betri na kumtaka aifanyie factory data reset ili aanze nayo upya, ajabu yeye anaomba nimpe email yangu ili aweze kuifungua. Je, hili limekaaje, ni kweli kufanya reset miaka hii kumekuwa complicated kiasi hiki hadi kwamba hata hard-reset inashindwa kufungua simu?.
Ndio mkuu kuna frp lock email itatakikana, sema kama hutaki kumpa email mwambie aka flash tu itatoka.
 
t
Speed za fiber zipo vizuri unless kuwe na tatizo. Issue ya TTCL ni wao kuja kuku fungia na kuja kutengeneza incase ikiharibika.

Kama mtaani kwenu branch yake wapo fasta kukufungia na hawazingui kutoa support fiber ni bora kuliko router za kawaid
THANKS MKUU
 
Inategemea mkuu na location yako, kabla hujanunua hakikisha huo mtandao husika unaupima speed eneo lako kwanza kama speed ni nzuri weka ila kama speed sio nzuri achana nao.

Na kuwa na router ama simu hakubadilishi chochote, ni ule tu usumbufu unapungua kutokana na lifestyle yako, kama ni mtu wa mishe mishe unatembea sana then line ikiwa kwenye simu itakusaidia sana.
Anha okyyy asante sana boss, mana wasi wasi wangu ulikua kwenye UNLIMITED YA KWENYE LINE BILA ROUTER sijawahi sikia ndo mara ya kwanza so nikawa na doubts
 
Anha okyyy asante sana boss, mana wasi wasi wangu ulikua kwenye UNLIMITED YA KWENYE LINE BILA ROUTER sijawahi sikia ndo mara ya kwanza so nikawa na doubts
Kuna watu waliwahi leta feedback humu inawezekana, atleast kwa baadhi ya mitandao kutumia kwenye simu. Sema kuwa tu makini matapeli pia wapo.
 
Ata kwangu ilo tatizo lipo aseee sijui Kwa nin
Inaleta Ujumbe gani mi mara ya mwisho kujiunga nimejiunga juzi cha 75,000 kilikubali
IMG_0857.jpeg
 
Back
Top Bottom