Hawa Sprint wapo Uganda pia.
Hizi ndiyo package yao lilivyo kwa huko Uganda.
View attachment 3498455
Hiyo 129,000/= ya UG ni sawa 90,000/= ya TZ.
View attachment 3498456
Kwa upande wangu bado package zao ni za kawaida ukilinganisha na ISP wengine waliopo kwa sasa.
Mfano Airtel wao kwa 100,000/= wanakupa 40Mbps, na kwa 70,000/= wanakupa 25Mbps.
View attachment 3498457
Hivyo kama kweli wataleta huduma zao hapa Tanzania basi wahakikishe wanakuja na package ambazo ni nzuri zaidi ya hizo za huko Uganda. Wakicopy na paste hizo za Uganda basi watafeli mapema sana!!