Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Ok jamani kwa anaejua anielekeze vzr nna line ya Halotel m2m natak nijiunge unlimited ile ya 50k ila kila nikienda kweny icho kifurushi cha furaha nakuta wameandika 50k-24,6GB apo kuna unlimited kwel au ndo izo GB 24 unapewa. Msaada please kwa mweny uelewa nnauhitaj

Ila ni uhakika kbsa ukijiunga icho “kifahari 50k” ni unlimited mana nliongea na mtoa huduama wa halo akanambia icho ni izo 24GB utaztumia mda wwte mpk siishe ndo unlimited yko zkiisha izo ndo kifrush kimeisha, akankatsha tamaa kbsa 24GB kwa 50k siwez iy biashara
hello habari, nina swali kwa watumiaji wa halotel m2m hv kwenu bando linakata fasta kama mm au nyie huko hali ikoje. Mimi natumia FB, na jamii forums pekee. huko FB siangalii video zaid ya tatu per day. lakn cha kushangaza kila siku inakata GB 1 au arround MB 800. najiuliza hivi hizi GB wanazotuuzia huwa zimetimia kweli? yaan lets Wanakupa GB 18 kwa shiling 15k huwa n GB 18 kweli au ni GB18 za kwenye sms but in reality hazifiki GB 18?
 
Attachments

  • Screenshot_20250920_153605_Messages(1).jpg
    Screenshot_20250920_153605_Messages(1).jpg
    177.5 KB · Views: 41
hello habari, nina swali kwa watumiaji wa halotel m2m hv kwenu bando linakata fasta kama mm au nyie huko hali ikoje. Mimi natumia FB, na jamii forums pekee. huko FB siangalii video zaid ya tatu per day. lakn cha kushangaza kila siku inakata GB 1 au arround MB 800. najiuliza hivi hizi GB wanazotuuzia huwa zimetimia kweli? yaan lets Wanakupa GB 18 kwa shiling 15k huwa n GB 18 kweli au ni GB18 za kwenye sms but in reality hazifiki GB 18?
Mkuu unge angalia data usage kwenye simu yako kuna apps zina run background, utaona ni app gani ina tumia bando lako, na inatumia kwa kiasi gani. Ukizibaini fanya namna ya ku disable hiyo app kama huna shida nayo, mfano app kama Google photos etc, hizo hufanya backup ya picha na video automatical, usipo disable hiyo kitu utakaushwa bando kila siku.
 
hello habari, nina swali kwa watumiaji wa halotel m2m hv kwenu bando linakata fasta kama mm au nyie huko hali ikoje. Mimi natumia FB, na jamii forums pekee. huko FB siangalii video zaid ya tatu per day. lakn cha kushangaza kila siku inakata GB 1 au arround MB 800. najiuliza hivi hizi GB wanazotuuzia huwa zimetimia kweli? yaan lets Wanakupa GB 18 kwa shiling 15k huwa n GB 18 kweli au ni GB18 za kwenye sms but in reality hazifiki GB 18?
hello habari, nina swali kwa watumiaji wa halotel m2m hv kwenu bando linakata fasta kama mm au nyie huko hali ikoje. Mimi natumia FB, na jamii forums pekee. huko FB siangalii video zaid ya tatu per day. lakn cha kushangaza kila siku inakata GB 1 au arround MB 800. najiuliza hivi hizi GB wanazotuuzia huwa zimetimia kweli? yaan lets Wanakupa GB 18 kwa shiling 15k huwa n GB 18 kweli au ni GB18 za kwenye sms but in reality hazifiki GB 18?
Weka hii APP inasema kweli kabisa ni app gani inatumia data foreground & background, ukiisha install ipe permissions zote itakazohitaji... Utajua tu kuna app gani inakula data yako...

Kwa kumalizia sometimes unaweza kulaumu sana wa mtandao huenda wezi wanaiba sijui mara itakua meseji ila uhalisia sio data kweli, sikia nikwambie mkuu, mfano anaetumia Google Pixels au hizi simu za kisasa Samsung , Xiaomi n.k simshauri kabisa kutumia bando la kupima kwenye simu yake kama hataki kulaumu hovyo UNLESS uwe unajua kuchokonoa simu sana na kuzima baadhi ya services yaani uifanyie full optimization ya settings zako kuendana na mapenzi yako kwanini..?!

Hizi simu za sasa hivi zinakuja na Services mingi sana za Google kutoka Android ambazo nyingi zinarun background zina consume internet data kwa kiasi kikubwa ili ku sync na configurations zake, nikupe mfano 1 tu ambao unaweza kuondoka na 1GB yako hata kama hujatumia sijui Instagram, WhatsApp nk umetumia JF pekee kutwa nzima 👇

Umeenda kuspoil sehemu au umeenda sherehe, viwanja nk na umepiga picha quality kubwa tena zina HDR+ let's say ziko 66 (approximately kila picha ina ukubwa wa kati ya MB3-5) au ume record video HD hata 2 tu za tena fupi zina MB 300 kila moja..

Mathematically 👇

1. Kwa wastani wa picha 66 zenye MB kuanzia 3MB mpaka 4, ziko 66 hizi kwa makadirio zina MB200+
1. Videos zako 2 HD 🫣 za show-off(joking) zina wastani wa MB600+

👆 Sasa hizi jumla tuseme zina MB 800+ mpaka hapo
Kuna mnyama anaitwa 👉 GOOGLE PHOTO mzee wa ku SYNC videos na kila aina picha kwenye simu yako kwenye Photo Cloud huyu mwamba kama hujamjulia na kumzima ina maana huo mzigo wako wote baada ya kuingia tu kwenye simu, anaupandisha wote kama ulivyo na QUALITY yake ileile huko na anatumia Internet Data kufanya mchakato wake huo.. Hapo umekwisha na 1GB ishateketea sababu hatumi notifications anapokua ana UPLOAD hizo data zako.. Too Sad hapo kwa mtu usiejua lazima uone kama umeibiwa, haya ya kuna Auto Backup & Upload ya WhatsApp nayo inakula bando balaa, kwa maana kama una magroup mengi yasiyo ya msingi unatumiwa mavitu WhatsApp na yanaji download background na yote pia yatalazimika ku UPLOADIWA huko Google Drive bando linatembea balaa, Playstore nayo huwa ina Auto Update ya APPS zako kama hukuzima lazima ulie 😄 kweli mambo ni mengi yanayolamba bando kwa hizi Smartphones ila ndiyo hivyo tena mpaka uwe mchokonozi uzime, kuna mnyama anaitwa Telegram, huyu mbaya sana kwenye bando anaweza kukamua hata 3GB kama una magroup mengi au channels ambazo zinatuma tuma mavitu ambayo huna umuhimu nayo ina auto downloads mbaya sana..

Kwa kumalizia Watoa Huduma sio wezi sana kiviile hasa kwa hizi bando za kupima, ni settings na configurations za simu zetu tu ndiyo UCHAWI wa Technology ulipo wa kula bando background..

Monitor matumizi yako mzee, utapata majibu tu....
 
Screenshot_20250920-170815_System UI.png

Umeona hapo mnyama GlassWire ananipa updates tu nani anavuruga bettery yangu mi napokua busy na app 1 tu kumbe kuna mwingine anarun almost masaa 10hrs non-stop, hapo zingekuja nyingi tu sema nimezima apps nyingi sana kunrun background na kutumia internet bila sababu ya msingi ambazo sina matumizi nazo mpaka niziruhusu mwenyewe, sabu pia simu angu bettery ndogo mambo ya kuchaji mara 2 kwa siku yameshanichosha...

Ninayo mwezi wa pili sasa unatoa 90k kununua router, unapewa ofa ya 10mbps ukitaka kukijazia utanunua 70k 20mbps kwenda juu mfano ukinunua 70k jumla inakuwa 30mbps ukiacha unakula 10mbps mwezi wa pili unanunua cha 70k 20mbps airtel wapo vzr sanaaa
Kama ntakuwa nimeelewa vizuri ..inamaanisha 90k kwa 10mb kwa malipo ya kwanza ambapo ukiona speed haikutoshi utaongeza 70k
Jumla itakuwa 160k huku ukipata 30mbps kwa mara ya kwanza.
Hiyo ni kwa Odu router ?au Hizi za 5g router za kutembea nazo popote?.?
 
View attachment 3476697

Umeona hapo mnyama GlassWire ananipa updates tu nani anavuruga bettery yangu mi napokua busy na app 1 tu kumbe kuna mwingine anarun almost masaa 10hrs non-stop, hapo zingekuja nyingi tu sema nimezima apps nyingi sana kunrun background na kutumia internet bila sababu ya msingi ambazo sina matumizi nazo mpaka niziruhusu mwenyewe, sabu pia simu angu bettery ndogo mambo ya kuchaji mara 2 kwa siku yameshanichosha...

Setting yake inakuwaje kwenye kuzizima mi natumia Android
 
Kama ntakuwa nimeelewa vizuri ..inamaanisha 90k kwa 10mb kwa malipo ya kwanza ambapo ukiona speed haikutoshi utaongeza 70k
Jumla itakuwa 160k huku ukipata 30mbps kwa mara ya kwanza.
Hiyo ni kwa Odu router ?au Hizi za 5g router za kutembea nazo popote?.?
za kutembea nazo 0781960280
 
hazichakachuluki hiyo sio namba yanguu ni ya muuzaji
Sawa.Nia yangu haikuwa kwaajili ya kuchakachua,nilitaka best device niifanyie analysis kama itanifaa.
Niliwahi ona mtu anauza odu online.
Nikamwambia aniletee.akaileta tofauti na niliyoitaka/niliyoiona Online.
Lkn goodluck niiliipenda naitumia mpk sasa kwa matumizi ya nyumbani.
Nilitaka nyinge tofauti na Odu ya kutembea nayo mm nasafiri mikoani mara kadhaa.
Sasa kabla sijaagiza nilitaka nitumiwe model alizonazo kabla sijaagiza.

Nje hapo nimepata online kibongobongo Nataka niilipie,binafsi naona itanifaa hata nje ya miji.
Ni universal router model WR900 wifi6.
Naalika wataalamu
Mkuu iNine9
Weka Neno kwa faida ya wengi.
Kari pia mkuu Chief-Mkwawa
 
kiukweli Airtel wapo vzr sana sina lawama kwao
na kwa sasa nimeunga cha 70 wameongeza ni 25Mbps
yangu model ni x28 Max 2
 
Sawa.Nia yangu haikuwa kwaajili ya kuchakachua,nilitaka best device niifanyie analysis kama itanifaa.
Niliwahi ona mtu anauza odu online.
Nikamwambia aniletee.akaileta tofauti na niliyoitaka/niliyoiona Online.
Lkn goodluck niiliipenda naitumia mpk sasa kwa matumizi ya nyumbani.
Nilitaka nyinge tofauti na Odu ya kutembea nayo mm nasafiri mikoani mara kadhaa.
Sasa kabla sijaagiza nilitaka nitumiwe model alizonazo kabla sijaagiza.

Nje hapo nimepata online kibongobongo Nataka niilipie,binafsi naona itanifaa hata nje ya miji.
Ni universal router model WR900 wifi6.
Naalika wataalamu
Mkuu iNine9
Weka Neno kwa faida ya wengi.
Kari pia mkuu Chief-Mkwawa
Nimecheki router hio ni 4G tu haina 5G na pia 4G yake ipo slow sana, not worth it compare na ya Airtel, ushauri wangu tafuta ya Airtel kama ulivyoshauriwa juu ambayo inatoka lock. Umecheki fb marketplace? Maana naziona mara kwa mara
 
Nashkru kwa kunisanua..hii ndo maana haswa ya mwaliko.
Nimeogopa zaid hapo 4g ipo slo sana.
Market Place sijaipata yakuchakachulika ..
Alie na x28 au universal 5g ela ipo mfuko wa shati simu moja tu.
Nikikwama ntachukua tu airtel. JAPO uhitaji wangu ni universal 5 generation
 
Kibongo bongo imekua ngumu kweli kuzipata hizi ZLT X28 daah... Sema Uganda zipo na Kenya kiasi naziona, kama una connection huko mtu akuchukulie... ZLT X28 pia AliExpress naziona zinauzwa na ZLT X25 ila bei mkasi na sellers wanadai ni Unlocked...
 
Weka hii APP inasema kweli kabisa ni app gani inatumia data foreground & background, ukiisha install ipe permissions zote itakazohitaji... Utajua tu kuna app gani inakula data yako...

Kwa kumalizia sometimes unaweza kulaumu sana wa mtandao huenda wezi wanaiba sijui mara itakua meseji ila uhalisia sio data kweli, sikia nikwambie mkuu, mfano anaetumia Google Pixels au hizi simu za kisasa Samsung , Xiaomi n.k simshauri kabisa kutumia bando la kupima kwenye simu yake kama hataki kulaumu hovyo UNLESS uwe unajua kuchokonoa simu sana na kuzima baadhi ya services yaani uifanyie full optimization ya settings zako kuendana na mapenzi yako kwanini..?!

Hizi simu za sasa hivi zinakuja na Services mingi sana za Google kutoka Android ambazo nyingi zinarun background zina consume internet data kwa kiasi kikubwa ili ku sync na configurations zake, nikupe mfano 1 tu ambao unaweza kuondoka na 1GB yako hata kama hujatumia sijui Instagram, WhatsApp nk umetumia JF pekee kutwa nzima 👇

Umeenda kuspoil sehemu au umeenda sherehe, viwanja nk na umepiga picha quality kubwa tena zina HDR+ let's say ziko 66 (approximately kila picha ina ukubwa wa kati ya MB3-5) au ume record video HD hata 2 tu za tena fupi zina MB 300 kila moja..

Mathematically 👇

1. Kwa wastani wa picha 66 zenye MB kuanzia 3MB mpaka 4, ziko 66 hizi kwa makadirio zina MB200+
1. Videos zako 2 HD 🫣 za show-off(joking) zina wastani wa MB600+

👆 Sasa hizi jumla tuseme zina MB 800+ mpaka hapo
Kuna mnyama anaitwa 👉 GOOGLE PHOTO mzee wa ku SYNC videos na kila aina picha kwenye simu yako kwenye Photo Cloud huyu mwamba kama hujamjulia na kumzima ina maana huo mzigo wako wote baada ya kuingia tu kwenye simu, anaupandisha wote kama ulivyo na QUALITY yake ileile huko na anatumia Internet Data kufanya mchakato wake huo.. Hapo umekwisha na 1GB ishateketea sababu hatumi notifications anapokua ana UPLOAD hizo data zako.. Too Sad hapo kwa mtu usiejua lazima uone kama umeibiwa, haya ya kuna Auto Backup & Upload ya WhatsApp nayo inakula bando balaa, kwa maana kama una magroup mengi yasiyo ya msingi unatumiwa mavitu WhatsApp na yanaji download background na yote pia yatalazimika ku UPLOADIWA huko Google Drive bando linatembea balaa, Playstore nayo huwa ina Auto Update ya APPS zako kama hukuzima lazima ulie 😄 kweli mambo ni mengi yanayolamba bando kwa hizi Smartphones ila ndiyo hivyo tena mpaka uwe mchokonozi uzime, kuna mnyama anaitwa Telegram, huyu mbaya sana kwenye bando anaweza kukamua hata 3GB kama una magroup mengi au channels ambazo zinatuma tuma mavitu ambayo huna umuhimu nayo ina auto downloads mbaya sana..

Kwa kumalizia Watoa Huduma sio wezi sana kiviile hasa kwa hizi bando za kupima, ni settings na configurations za simu zetu tu ndiyo UCHAWI wa Technology ulipo wa kula bando background..

Monitor matumizi yako mzee, utapata majibu tu....

View attachment 3476697

Umeona hapo mnyama GlassWire ananipa updates tu nani anavuruga bettery yangu mi napokua busy na app 1 tu kumbe kuna mwingine anarun almost masaa 10hrs non-stop, hapo zingekuja nyingi tu sema nimezima apps nyingi sana kunrun background na kutumia internet bila sababu ya msingi ambazo sina matumizi nazo mpaka niziruhusu mwenyewe, sabu pia simu angu bettery ndogo mambo ya kuchaji mara 2 kwa siku yameshanichosha...

asante sana kwa maelezo kaka, nitazingatia.
 
Habari wakuu, samahani niko nje ya mada kidogo, miaka ya nyuma kuna group nilipata maujanja ya kuseti vpn ya kwenye simu sio hizi za app za kudownload ilikuwa inapiga kazi fresh sasa nikaja kuuza ile simu na yale maujanja sikuya save mahali , Naomba kwa anaefahamu anisaidie maana hizi za app zinafanya simu inahit sana na kula chaji, najua humu kuna wajuzi wengi, Asanteni natanguliza shukrani.👏
 
Unatakiwa ujue tech behind, tunnelling tech zipo nyingi Udp, DNS, TCP, wire guard, wstunnel etc.

Then configure unavyo taka mwenyewe, wire guard nzuri sana ila za bure maybe week tu ndio utapata Config zake.

Kuna app inaitwa Rethink unaweza set wireguard na DNS as far as simu ku heat inaweza saidia maana protocol hizo hufanya kazi tofauti.
 
Back
Top Bottom