Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

mmmnh imeanza lini?? mbona mimi ndio nawatumia hawa nersolution hiyo mbps 40 sio price hiyo...50k napata 20mbps.wakibadilishaga price tunatumiwa email. hili sio tangazo la kibiashara kweli????!
jamani naona kweli hawa netsolution wameongeza speed ya kudownlod hapa nimepima nimepata matokeo haya Mkwawa
Hio 40mbps,

Hio 40mbps,
duuuuh wacha tuendelee kufaidi ila naona wamebana kwa upload ....sio mbayaa
 
jamani naona kweli hawa netsolution wameongeza speed ya kudownlod hapa nimepima nimepata matokeo haya Chief-Mkwawa
Hawa tunao ofisini kwetu huku Mwanza wamefunga Microwave Dishes zao kwenye mnara wa kazini na mitambo yao baadhi pamoja na Liquid ila sasa internet ya Liquid imeanza kua ya kiwaki sana mwezi wa 3 huu haiko stable kabisa hata kama tunatumia bure internet yao basi sio kwa maumivu haya hata kudownload nyimbo tu mtiti, tunataka tuwapige chini Liquid tujaribu hawa NetSolution...
 
netsolution mshindani wake ni savanna....hawa netsolution sijawahi jutia aisee wapo vzr.ikitokea network wanatupigia simu nakutujulisha tatizo.kweli mjini tunafaidiii hapa nilipo kuna savanna kuna ttcl kuna halotel fiber na hawa netsolution ushindwe wewe tu.sema netsolution asipokaa vzr savanna atampiku....ila kagundua katuongezea speed ya download kwenye vifurushi vyetu...........
 
Safi wawe wengi ili ushindani uwe mkubwa na bei ipungue...
 
Wakuu naomba kujua kuhusu Airtel 5G router ni bei gani? Na nikilipia inakua na kifurushi kabisa?
Naona siku hizi wanakupa router bure ukinunua kifurushi cha 110k then mwezi unaofuatia unaendelea kulipa 70k, ila router kama router ukitaka mtaani zipo nyingi sana zinauzwa bei za kutupa.
 
Attachments

  • Screenshot_20250916_024155.jpg
    Screenshot_20250916_024155.jpg
    110.5 KB · Views: 34
Model za zamani ambazo ni kubwa hazisumbui network, na assume kwako hakuna hilo tatizo. Cheki fb marketplace zipo za kutosha hizo router.
Atafuta ZLT X28 kama atapata ni nzuri sana, shida zimekua adimu mno mtaani na Airtel hawazileti sabu zina chakachurika... Na walio nazo sidhani kama wanaziuza kirahisi..
 
Naona siku hizi wanakupa router bure ukinunua kifurushi cha 110k then mwezi unaofuatia unaendelea kulipa 70k, ila router kama router ukitaka mtaani zipo nyingi sana zinauzwa bei za kutupa.
Ninayo mwezi wa pili sasa unatoa 90k kununua router, unapewa ofa ya 10mbps ukitaka kukijazia utanunua 70k 20mbps kwenda juu mfano ukinunua 70k jumla inakuwa 30mbps ukiacha unakula 10mbps mwezi wa pili unanunua cha 70k 20mbps airtel wapo vzr sanaaa
 
Back
Top Bottom