Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 5,762
- 21,843
Hilo nalitambua mkuu.VPN inaweza slow down au speed up kasi ya mtandao kutegemeana na systems zilivyosukwa na wahusika sijui unalitambua hili? Sasa huenda firewall yao Airtel ina filters VPN connections za outside servers kwa kutambua ya kua huenda kuna watu watataka kubypass speed limit kwa VPN..
Ila hiyo majuzi speed ilishuka regardless ya nimewasha vpn au sijawasha.
Toka jana ndo speed imerudi kawaida, ila nikiwasha vpn tu inashuka tena mpaka 2Mbps.
Hiyo inamaanisha wamefusa nyaya mahali.